Mwamba Usemao Kweli
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 744
- 186
Sad sad sad...! Watanzania wekeni maslahi ya nchi mbele. Haya mambo yenu ya CCM na CHADEMA ndio yanazidi kuiharibu nchi, tupiganie nchi yetu as a team...!
Watu wanaongea wanatokwa na povu utafikiria hawana kazi ya kufanya, ombeni na hela za Tanesco inazoilipa Songas, Aggreco si za wananchi nendeni mkadai.
Kumbe unajua differantials au just a mere tongue slip if not a coincidence to mention those??!!
Unajua unachotengeneza hapo??!!!
Tumechoka na kelele zenu
Ha ha haa ni wananchi labda na sio hao wasemaji wao na yaweza kuwa sio kelele ni ya kupuuzwa!!!!
Isije kuwa hadithi ya mtoto mchunga mbuzi na chui. . . . .
Ungana na njaa yako wakati watu wametulia na 1.6BNi Wakati sasa kwa wana ccm kuungana na kuwaonyesha UKAWA kuwa si kila wanachofikiria wao nI sahihi LA hasha. Kama rais ameelezea vema suala LA Escrow kwamba zi pesa za Umma ni kwa nini wao walazimishie?
My take: Tuache utoto hata katika mambo yasiyohitaji elimu ya msingi kuyaelewa.