CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

Mwingine ameshaozeana chini ya ardhi
Afadhali huyo yuko kwenye ardhi ya kwao, tofauti na wengine wanao omba omba mikate barabarani huko Ulaya kwa masharti ya ajabu ajabu ikiwa ni pamoja na kusema sema uongo na uzushi usio na faida kwake ila kujishushia heshima na hadhi!
 
Waweke tu hiko kikao cha kupoteza muda na kudanya umma, lakini ninachojua hawana ubavu wa kumkatalia mwanadiplomasia huyo na shujaa wa awamu ya 5 !
Huo ndio ukweli. Hakuna mwenye ubavu wa kumzuia Membe kwa sasa! Jamaa anarudi, na atapata nafasi kubwa ya uteuzi. Masalia ya jiwe wajifunze kuchutama, hizi sasa sio zama zao!
 
Ndoto yake ya kuwa rais itatimia?
Uwezekano ni mkubwa sana! Membe atakuwa kwenye nafasi nzuri sana baada ya Samia. Kumbuka utamaduni wa CCM wa kupokezana mgombea Uraisi! 2030 Membe anaweza kuweka karata yake na kupata.
 
Yule marehem maalim sefu sharifu aliona mbali vilikuwa haviiv kabisa na huyu kachero mstaafu
 
Back
Top Bottom