Mkuu mimi sio Mwanaccm lakini nakubaliana nawe moja kwa moja. CCM hawajaanza matusi leo unakumbuka Bungeni wazusha kuwa Mdee anasagwa na Bulaya, jumlisha na ya kina wasira yapo mengi sana KWA UJUMLA CCM KIMEPOTEZA SIFA YA KUWA CHAMA DOLA. naamini safari ya kuitokomeza CCM imeshaanza kushika kasi. na kwa kifupi CCM haisafishiki
labda ibadilishe jina.
Kibadikisha jina ni kama shehe anayebadili kanzu huku akibakia yuleyule. Kimebadikisha jina toka TANU na kuwa CCM. Toka cha mapinduzi na kuwa cha Maneno.