Ccm kama chama itabidi mjilaumu wenyewe, balance ya kuheshimiana ndani ya ccm ilikuwa ni kuheshimu demokrasia ya vyama vingi. Lakini mmegeuka kushabikia chama chenu kupata ushindi wa kunajisi chaguzi za nchi. Automatically mmeua demokrasia ndani ya chama chenu, kwani wanajua hata mkiondoka hamna pakwenda, kwani huko mtashindwa kwa hila. Subirini kwanza wazee wakae madarakani, kisha hizo nafasi wawaachie watoto ndio akili zitawakaa sawa.Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika wilaya 57 ya mikoa hiyo na kugundua jambo moja baya sana kwa CCM. Uwezekano mkubwa asilimia zaidi ya 75 ya wabunge na madiwani wa CCM watarudi hao hao. Madiwani wengi wa CCM ni wazee wa zaidi ya miaka 55 na wengi ni wastaafu. Wote hawa wamechukua fomu na hakuna dalili vijana waliochukua fomu watafanikiwa kurudi kwani mazingira ni magumu sana. Kwa CCM vijana wenye umri chini ya miaka 35 CCM waliochukua fomu wengi watashindwa kupenya kwa sababu madiwani wengi wameamua kutumia fedha walizopewa kama pensheni ya udiwani wameshatoa kwa wajumbe. Katika mikoa niliyofikia ni mikoa ya Mbeya na Arusha tu ndiyo ambayo waliochukua fomu wapya kwa wageni wanaonekana kuwa na nguvu sawa kihoja na kiuchumi. Mikoa ambayo wanaoweza kurudi wabunge na madiwani asilimia 80 ni Shinyanga, Tanga, Tabora, Mtwara, Singida na Pwani.
Jambo hili ni baya kwani linaashiria kuwa CCM imeshajitengenezea kakundi fulani ambako kanataka kenyewe tu ndiyo kaongoze nchi. Bila viongozi wa CCM kuliona hili hivi punde kutakuwa na tabaka kubwa sana la CCM likakalolichukia kundi hili na hivo going forward kundi hili litakuja kukataliwa kwa aibu kubwa sana. Mbaya zaidi kikundi hicho kinawaandaa watoto wao kuja kushika nafasi zao, kitu ambacho ni kibaya sana.
hilo la watoto wao kupewa nafasi ndiyo litatumaliza aseeCcm kama chama itabidi mjilaumu wenyewe, balance ya kuheshimiana ndani ya ccm ilikuwa ni kuheshimu demokrasia ya vyama vingi. Lakini mmegeuka kushabikia chama chenu kupata ushindi wa kunajisi chaguzi za nchi. Automatically mmeua demokrasia ndani ya chama chenu, kwani wanajua hata mkiondoka hamna pakwenda, kwani huko mtashindwa kwa hila. Subirini kwanza wazee wakae madarakani, kisha hizo nafasi wawaachie watoto ndio akili zitawakaa sawa.
Ila mimi sio mhuni nduguCcm sio chama ni genge la wahuni wazee kwa vijana linaoiba Mali za umma huku likilindwa na polisi. Siku tutawafuta polisi wote ndio mwisho wa haya magenge ya wahalifu
Hii ni kweli kabisa kwa huku Iramba Magharibi Mwigulu anahakikisha madiwani wake wote wanapita.Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika wilaya 57 ya mikoa hiyo na kugundua jambo moja baya sana kwa CCM.
Uwezekano mkubwa asilimia zaidi ya 75 ya wabunge na madiwani wa CCM watarudi hao hao. Madiwani wengi wa CCM ni wazee wa zaidi ya miaka 55 na wengi ni wastaafu. Wote hawa wamechukua fomu na hakuna dalili vijana waliochukua fomu watafanikiwa kurudi kwani mazingira ni magumu sana.
Kwa CCM vijana wenye umri chini ya miaka 35 CCM waliochukua fomu wengi watashindwa kupenya kwa sababu madiwani wengi wameamua kutumia fedha walizopewa kama pensheni ya udiwani wameshatoa kwa wajumbe.
Katika mikoa niliyofikia ni mikoa ya Mbeya na Arusha tu ndiyo ambayo waliochukua fomu wapya kwa wageni wanaonekana kuwa na nguvu sawa kihoja na kiuchumi. Mikoa ambayo wanaoweza kurudi wabunge na madiwani asilimia 80 ni Shinyanga, Tanga, Tabora, Mtwara, Singida na Pwani.
Jambo hili ni baya kwani linaashiria kuwa CCM imeshajitengenezea kakundi fulani ambako kanataka kenyewe tu ndiyo kaongoze nchi. Bila viongozi wa CCM kuliona hili hivi punde kutakuwa na tabaka kubwa sana la CCM likakalolichukia kundi hili na hivo going forward kundi hili litakuja kukataliwa kwa aibu kubwa sana.
Mbaya zaidi kikundi hicho kinawaandaa watoto wao kuja kushika nafasi zao, kitu ambacho ni kibaya sana.
Kuna makubaliano yasiyo rasmi ya wabunge wote warudi isipokuwa "magwajima' kwa sababu hawakuinanga Serikali bungeni.Nimefanya utafiti kwa mikoa sita haraka haraka kwa kusafiri mwenyewe na mikoa mingine 15 kwa kufanya mawasiliano ya simu. Jumla nimejitahidi kuwafikia na kuwasiliana na wadau takribani katika wilaya 57 ya mikoa hiyo na kugundua jambo moja baya sana kwa CCM.
Uwezekano mkubwa asilimia zaidi ya 75 ya wabunge na madiwani wa CCM watarudi hao hao. Madiwani wengi wa CCM ni wazee wa zaidi ya miaka 55 na wengi ni wastaafu. Wote hawa wamechukua fomu na hakuna dalili vijana waliochukua fomu watafanikiwa kurudi kwani mazingira ni magumu sana.
Kwa CCM vijana wenye umri chini ya miaka 35 CCM waliochukua fomu wengi watashindwa kupenya kwa sababu madiwani wengi wameamua kutumia fedha walizopewa kama pensheni ya udiwani wameshatoa kwa wajumbe.
Katika mikoa niliyofikia ni mikoa ya Mbeya na Arusha tu ndiyo ambayo waliochukua fomu wapya kwa wageni wanaonekana kuwa na nguvu sawa kihoja na kiuchumi. Mikoa ambayo wanaoweza kurudi wabunge na madiwani asilimia 80 ni Shinyanga, Tanga, Tabora, Mtwara, Singida na Pwani.
Jambo hili ni baya kwani linaashiria kuwa CCM imeshajitengenezea kakundi fulani ambako kanataka kenyewe tu ndiyo kaongoze nchi. Bila viongozi wa CCM kuliona hili hivi punde kutakuwa na tabaka kubwa sana la CCM likakalolichukia kundi hili na hivo going forward kundi hili litakuja kukataliwa kwa aibu kubwa sana.
Mbaya zaidi kikundi hicho kinawaandaa watoto wao kuja kushika nafasi zao, kitu ambacho ni kibaya sana.
So bad!Kuna makubaliano yasiyo rasmi ya wabunge wote warudi isipokuwa "magwajima' kwa sababu hawakuinanga Serikali bungeni.
Magwajima' watatu tayari wamebainika; Wahe.Majaliwa,Gwajiboy na Mpina.
Sina uhakika na Januari na Nape.
Tehe tehe!ccm ya sasa kwa jinsi ilivyotoboka ni kama chujio
Asee!So bad!
Tindo, Habari ya wapi siku hizi? Long time asee!Ccm kama chama itabidi mjilaumu wenyewe, balance ya kuheshimiana ndani ya ccm ilikuwa ni kuheshimu demokrasia ya vyama vingi. Lakini mmegeuka kushabikia chama chenu kupata ushindi wa kunajisi chaguzi za nchi. Automatically mmeua demokrasia ndani ya chama chenu, kwani wanajua hata mkiondoka hamna pakwenda, kwani huko mtashindwa kwa hila. Subirini kwanza wazee wakae madarakani, kisha hizo nafasi wawaachie watoto ndio akili zitawakaa sawa.
Tehe tehe!
Nipo hapa Dar boss, nitaenda wapi?Tindo, Habari ya wapi siku hizi? Long time asee!
sasa ukiwa na wahuni wewe utakosaje kuwa mhuni?Ila mimi sio mhuni ndugu
Mara ya mwisho kukuona Singida pale Shelui!Nipo hapa Dar boss, nitaenda wapi?
Sijui itakuwa ni lini, lakini maeneo yale naenda mara kwa mara.Mara ya mwisho kukuona Singida pale Shelui!
Hata Lucas maana yeye anashinda kuandika mashairi ya sifa na hapewi uongozi,hii inaniumiza sana.hilo la watoto wao kupewa nafasi ndiyo litatumaliza asee