VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
ccm iko kwenye makorido ya lumumba na hata kwa mafisadi kama kina chenge, sitta, tibaijuka nk.hivi ccm bado kipo?
Ki utendaji mama tibaijuka ni mzuri tatizo ni mfumo aliokuwamo ndio sio
Mambo haya ni ya 47. Ya kizamani mno. Watu wanabadilika nasi tubadilike. Labda tukapige vijijini. Si Dar es Salaam. Yaani tunategemea nyimbo za TOT ya John Komba kukusanya watu Dar!? Very outdated.
Wananchi wanatudharau. Wanaona tunawaletea laana. Na kuiendeleza. Wanaapa kutuangusha. Wa wapi wale wanamuziki wa kizazi kipya tuwatumiao?
Nyimbo za zamani. Bendi ya zamani. Halafu tunakusanyia watu sasa tena mjini? Shame. Zi wapi bongo fleva na rusharoho? Tubadilike
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

ndege wanaofanana ndo huruka pamoja naona unajitahidi kumtetea mwinzi mwenzako umechelewa.Ki utendaji mama tibaijuka ni mzuri tatizo ni mfumo aliokuwamo ndio sio
Hali iko hivi kwa sasa! Mzee Tupatupa hulijui hilo?
View attachment 209371
Yani hawa CCM wameishiwa kila kitu kuanzia sera zao hadi nyimbo.CCM ya mwaka 47 ya analojia haina ubavu wa kupambana na kizazi hiki cha digital. Kama wameishiwa nyimbo wangeimba angalao ule wimbo wao mpya wa ESCROW kwa kutumia wanamuziki wa bendi ya ESCROW kama akina Chenge, Werema, Tibaijuka, Muhongo na Maswi.Mambo haya ni ya 47. Ya kizamani mno. Watu wanabadilika nasi tubadilike. Labda tukapige vijijini. Si Dar es Salaam. Yaani tunategemea nyimbo za TOT ya John Komba kukusanya watu Dar!? Very outdated.
Wananchi wanatudharau. Wanaona tunawaletea laana. Na kuiendeleza. Wanaapa kutuangusha. Wa wapi wale wanamuziki wa kizazi kipya tuwatumiao?
Nyimbo za zamani. Bendi ya zamani. Halafu tunakusanyia watu sasa tena mjini? Shame. Zi wapi bongo fleva na rusharoho? Tubadilike
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
kMambo haya ni ya 47. Ya kizamani mno. Watu wanabadilika nasi tubadilike. Labda tukapige vijijini. Si Dar es Salaam. Yaani tunategemea nyimbo za TOT ya John Komba kukusanya watu Dar!? Very outdated.