Sasa kama mgombea anaweza kuonesha kwamba anakubalika na wadhamini wengi zaidi, kwa nini kumzuia?
Kwa nininCCM inaqeka kikomo cha wadhamini? Kwa nini haikusema inataka angalau wafhamininkadhaa lakininisiweke kiwango cha juu?
Inaogopa kuanzisha a tangible opinion poll?
Kwa nini CCM inaogopa sauti za watu?
Kwa sababu inataka kuwachagulia wananchi rais badala ya wananchi kuchagua rais wao?
Fuata kanuni. umeambiwa jibu maswali matano wewe kwa kujifanya wajua unajibu maswali kumi.ujuha.
Kanuni ipo ili litumikia watu, watu hawapo kuotumikia kanuni.
Kwa nini kuwe ma ukomo wakati tunatafuta mtu mwenye support kubea?
Kanuni mbona haina mantiki?
Kanuni ipo ili litumikia watu, watu hawapo kuotumikia kanuni.
Kwa nini kuwe ma ukomo wakati tunatafuta mtu mwenye support kubea?
Kanuni mbona haina mantiki?
Kuna sehemu nimesikia jamaa kapata wadhamini 7,000+, sasa kama wanahitajika 450 tu wote hao wa nini? Au anataka kutuonyesha jamaa anakubalika zaidi ya wenzake. Nilishangaa leo kusikia Mzee wa Viwango anarudisha fomu
Ndiyo lengo lake na ndorobo wanaomzunguka kujenga dhana yakukubalika. Wengi wa wadhamini hao wanapilwa posho baada ya kulipiwa ada ya uanachama kwanza.
Haka ka mradi ka uchaguzi ccm wanavuna. Formu za wagombea Urais tayari million 30 nadhani maana sina uhakika wamefika wangapi mpaka muda huu.
ccm inataka jumla ya wadhamini 450 kwa wagombea katika mikoa waliyozunguka, wadhamin watakaozidi kila mgombea akawaweke nyumbani kwake ili waangalie kama mapambo na mke wake-from nape nauye
Mleta mada,
Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.
Watu wanatunga kanuni kubalance mfumo na sio vinginevyo. Nimetoa mfano wa mtihani. Unaambiwa ujibu maswali kadhaa kati ya kadhaa. Ukijibu yote umepoteza muda
Watasahihisha hayo uliyoambiwa ya kwanza.mengine yanatupiliwa kapuni. Ungesoma shule vizuri ungeelewa hii kitu.
Falsafa ya mafuriko