Kuwa muelewa....hatua iliyopo sasa sio ya Watanzania kutoa maoni. Na hata wakitoa, maoni yao yatakuwa useless na wastage of time. Hatua tuliyopo sasa inawahusu strictly wana CCM tu. Baada ya tarehe 12 na 13 ya mwezi julai kupita, ndio hapo kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, kujadili na mengineyo.
Hivyo basi, kwa sasa hapa mnapoteza muda kuongelea mambo ya wana CCM wakati ninyi ni aidha wapinzani au wananchi msio na vyama.
hiyo ndo ccm...kauli zao zoote zimejaa utata
ipo kazi
Potelea mbali,ni lowassa anayedhaminiwa na maefu,huwezi kuzuia,na nimehakikisha mkoa fulani wagombea wameenda,wadhamini ni taabu,wengine wanasema wazi ah kadi yangu ni ya lowassa,na hajafika huko lowassa,acheni bwn ,watz wanamtaka edward hakuna cha kukomba wadhamini wala nn,mjue ndo anatufaa lowassa.
Hilo lipo wazi toka mwanzo lakini mtu anachukua wadhamini hadi 3,000 ili kuwakomoa wenzie maana mtu mmoja hawezi kudhamini zaidi ya mtu mmoja.
Wasichokijua wengi humu ni kuwa Hao wadhamini 30 kwa kila mkoa wanatayarishwa na makatibu wa CCM wa mkoa na kuwa designated kwa kila mgombea.
Sasa huu upuuzi wa kupata wadhamini kwa maelfu ni fujo zinazoonesha ulimbukeni halisi wa mgombea.waste of time resources and shows we are dealing with showmen instead of leaders.
Ukutazama huu uprimadona wa udhamini utaona wepi ni viongozi wepi ni wakurupukaji,waropokaji na vimeo.
Wasichokijua wengi humu ni kuwa Hao wadhamini 30 kwa kila mkoa wanatayarishwa na makatibu wa CCM wa mkoa na kuwa designated kwa kila mgombea..
Sijaona tatizo hapo. Mwache atoe maoni.
Wewe ni mara ngapi uliisema Chadema/Ukawa? Je, mtoa mada kajitambulisha yeye ni mwanachadema?Mleta mada,
Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.
Inashangaza sn mtu hata taratibu za chama hajui eti anataka kuwa rais kama sio weu ni nini,chama kinasema wadhamini 450 nchi nzima mtu nazungua na na misafara mikubwa kukushanya maelf ya wazamini na kuchukua kadi zao anapeleka wapi? Tukisema wengine wanaumwa akili vibaraka wao wanapiga kelele hata hilo hamlioni? Kwamba ni upungufu wa aina yake,