CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

CCM: Tunahitaji wadhamini 450 tu

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,154
Reaction score
162,570
Chama cha Mapinduzi(CCM),kimesema kinahitaji wadhamini 450 tu na kwamba wanaozidi watarudishwa kwa mgombea mwenyewe.

Chanzo:Tanzania Daima

My take:
Ni kukomoana au ndio utaratibu?

Kama ni utaratibu,makada wanaopokea wadhamini zaidi ya idadi hiyo hawajui utaratibu?
 
Salary Slip

Hilo lipo wazi toka mwanzo lakini mtu anachukua wadhamini hadi 3,000 ili kuwakomoa wenzie maana mtu mmoja hawezi kudhamini zaidi ya mtu mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Hiki chama jamani hivi kina mwanyekiti kweli?
 
Hilo lipo wazi toka mwanzo lakini mtu anachukua wadhamini hadi 3,000 ili kuwakomoa wenzie maana mtu mmoja hawezi kudhamini zaidi ya mtu mmoja.

Sasa kama mgombea anaweza kuonesha kwamba anakubalika na wadhamini wengi zaidi, kwa nini kumzuia?

Kwa nininCCM inaqeka kikomo cha wadhamini? Kwa nini haikusema inataka angalau wafhamininkadhaa lakininisiweke kiwango cha juu?

Inaogopa kuanzisha a tangible opinion poll?

Kwa nini CCM inaogopa sauti za watu?

Kwa sababu inataka kuwachagulia wananchi rais badala ya wananchi kuchagua rais wao?
 
hiyo ndo ccm...kauli zao zoote zimejaa utata
ipo kazi
 
Mleta mada,

Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.

Myopia!! anything in the public space kama hili la watia Nia sio exclusive kujadiliwa na CCM Zealots kama wewe peke yao!! ni swala lenye athira pana kwa taifa kwa ujumla; kila mwananchi ana haki ya kushiriki Uchambuzi, tafakuri na udadavuzi wake kwa maslahi mapana ya taifa! grow up! Bs
 
Mleta mada,

Katika kipindi kama hiki ulipaswa ujikite zaidi na chama chako cha UKAWA sijui CHADEMA....Mambo ya CCM tuachie wana CCM wenyewe.

Mbona kila siku tulikuwa tunamjadili Zitto na ACT?

Hii ndio siasa yetu na hasa hapa JF!
 
Sasa kama mgombea anaweza kuonesha kwamba anakubalika na wadhamini wengi zaidi, kwa nini kumzuia?

Kwa nininCCM inaqeka kikomo cha wadhamini? Kwa nini haikusema inataka angalau wafhamininkadhaa lakininisiweke kiwango cha juu?

Inaogopa kuanzisha a tangible opinion poll?

Kwa nini CCM inaogopa sauti za watu?

Kwa sababu inataka kuwachagulia wananchi rais badala ya wananchi kuchagua rais wao?

Mbona ujauliza uwezekano wa wanachama kupewa hongo ili kukubali kutoa udhamini? Wewe mambo ya CCM huyajui. So tuache tufanye kazi kwa mujibu wa taratibu tulizojiwekea.
 
Salary Slip

hiki chama kwa sasa kinaongozwa kwa sera za chuki na wivu,mimi yangu macho ila siku si nyingi sisi ndo wenye maamuzi ya mwisho kwenye sanduku la kura
 
Last edited by a moderator:
Myopia!! anything in the public space kama hili la watia Nia sio exclusive kujadiliwa na CCM Zealots kama wewe peke yao!! ni swala lenye athira pana kwa taifa kwa ujumla; kila mwananchi ana haki ya kushiriki Uchambuzi, tafakuri na udadavuzi wake kwa maslahi mapana ya taifa! grow up! Bs

Kuwa muelewa....hatua iliyopo sasa sio ya Watanzania kutoa maoni. Na hata wakitoa, maoni yao yatakuwa useless na wastage of time. Hatua tuliyopo sasa inawahusu strictly wana CCM tu. Baada ya tarehe 12 na 13 ya mwezi julai kupita, ndio hapo kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, kujadili na mengineyo.

Hivyo basi, kwa sasa hapa mnapoteza muda kuongelea mambo ya wana CCM wakati ninyi ni aidha wapinzani au wananchi msio na vyama.
 
Hakuna CCM wanalo sema waka litekeleza over 25%
 
Mbona kila siku tulikuwa tunamjadili Zitto na ACT?

Hii ndio siasa yetu na hasa hapa JF!

Wewe siku zote uwa na kieleele...Zitto mwenyewe alisema wazi kuwa amewapuuza...sasa dume zima kushinda mitandaoni kumjadili mtu ambae amekupuuza unaona sawa tu?
 
Back
Top Bottom