CCM tumuombe msamaha Kafulila, Tumeaibika!!!

CCM tumuombe msamaha Kafulila, Tumeaibika!!!

Fisi anaomba msamaha kwa kosa la kula nyama.
5d86c420579a072a6bdf66e89dece3bc.jpg
 
Kafulila alitukanwa kila aina ya tusi na viongozi wa ccm.
 
Yule mzee alikuwa mwanasheria ana ma-V8 makali sana,kwa kuitafuna Tanzania na ndiye aliyekuwa anaungana na yule aliyemuita kafulila Tumbili.
Ilibidi tuyachome moto tu yale magari ya jasho kharamu na damu za mama zetu wanaolala chini na kufa kwa kukosa dawa na huduma bora za uzazi,nyang'au wakubwa.
 
Siku moja moja huwa wanaongeaga point kumbe........... asante bi mkubwa
 
Sio maneno yangu,ni kauli ya mbunge wa ccm bungeni leo!


Kafulila walimfanya nini????

Nahisi huyu mama amechanganya, Nafikiri alikuwa anamlenga zitto kabwe, kwani alifukuzwa bungeni 2007 kutokana na mkataba WA buzwagi!
 
Nawapongeza sana wabunge wa upinzani wana moyo wa subra sana.

Kama ningekuwa mimi mle ndani NINGESHAPIGA WAPUUZI WA CCM MUDA MWINGI, maana sipendagi kuugua vidonda vya tumbo.
 
Sio maneno yangu,ni kauli ya mbunge wa ccm bungeni leo!


Kafulila walimfanya nini????

Kweli mwisho wa ccm umekaribia ni swala la muda tu, huyu mama namjua akiwa bungeni anaongea pumba tupu lkn akili zimeanza kumwingia
 
Tumelogwa kweli sisi na hata wewe hatupendi wengine wanufaike bwana bora wazungu wachukue tu mkifaidika wabongo mnamajivuno kweli nyie hakuna uzalendo hapo cha kwanza tumbo lako cha pili usiye mjua.
 
Mizimu ya lile Babu lenye manywele meupe inaendelea kufufuka.
 
Watu wengine tumeishawasahau mnatukumbusha tu hapa bila sababu za msingi...
 
Aisee bado sana, yani bado kuna "mbulukenge" nyingine wanaulizwa swali ya msingi wanaleta mapambio. Mother anauliza nani wa kumuomba Kafulila msamaha, anaambiwa labda yeye.
 
Back
Top Bottom