CCM tumuombe msamaha Kafulila, Tumeaibika!!!

CCM tumuombe msamaha Kafulila, Tumeaibika!!!

Wanafki waseme ndio (in makinda's voice)
 
Nchi hii dah!!! Mungu tusaidie. Kumuonea Kafulila walipiga makofi; mama anasema wamuombe msamaha wanapiga makofi ahahahahaaaaaa. Semeni Ndiyoooooo; yote Ndiyoooooo
Mkuu,ndo maana tunachelewa kupata maendeleo.

Imefikia mahali watu akili wameziweka tumboni.
 
Tumbuli kokote uliko,mungu akubariki.historia itakukumbuka daimaa
 
Huyu mama tumuanzishie harambee ya posho ya uzalendo. Kila mtanzania amchangie sh mia tu. Mara watanzania milioni ishirini (miaka 18 +) atapata fuba nene
 
Back
Top Bottom