CCM tumefikaje hapa tulipo?

CCM tumefikaje hapa tulipo?

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,464
- Sio siri kwamba katika mchakato wa Wagombea Urais 42 wa CCM ulioisha hivi karibuni ni Wagombea 3 walio onyesha kukubalika zaidi na wana CCM wengine wa kwanza ni Lowassa, Membe na Mwigulu hili wala halina mjadala ni FACT na ni the TRUTH ya what we all saw with our eyes kutokana na Mikutano yao ya kutangaza nia mpaka mapokezi yao kila walipokwenda kutafuta Wadhamini. Now in a very serious tone kama Uchaguzi ungekuwa based na walipofikia so far Lowasa is a clear winner, it does not matter kama nampenda au simpendi na it does not matter kama namuunga mkono au simuungi mkono but this is a FACT ambayo Wananchi wote tumejionea kwa macho yetu.

- Now, ninasikitika sana kuona kwamba Tanzania tumefikia mahali kwamba huwezi kusema maneno kama yangu bila kutafuta uadui na watu na bila kuzushiwa majungu, na hivi karibuni nimeona Viongozi wengi wakuu wa CCM Taifa wakihaha kwenye majukwaa na hoja moja very interesting kwamba Kuna wagombea Urais ambao hawana maadili yanayokubalika na Chama hicho kukiwakilisha kwenye kugombea Urais kwa hiyo majina yao yatakatwa. Kinachonishangaza ni the fact kwamba hakuna mtu anayewahoji wala kuwauliza exactly what are they trying to tell us?

- Kwamba CCM inajua kwamba ina Viongozi wake wengi wakuu ambao hawana maadili ya kukidhi uongozi wa kitaifa wa Chama hicho lakini haijawahi kuwaadhibu wala kuwafukuza Chama hicho, now leo wanagombea nafasi ya kukiwakilisha chama hicho kwenye urais ndio CCM inaamka na kuanza kulalamika kwa Wananchi kwamba baadhi ya waliochukua fomu zao hawafai kwa sababu hawana maadili ya CCM? Na Wananchi mpaka Media imenyamaza kimya as if this theory is a perfect politics? REALLY?

- I mean kugombea Urais inatakiwa kuwa the simplest thing kwenye Taifa lolote linalofuata misingi ya KISHERIA na DEMOKRASIA binafsi nimebahatika kuishi kwenye Demokrasia ya kweli kwa miaka 30, now ninaambiwa na hapa Tanzania tunaishi kwa Demokrasia ile ile niliyoiona kwenye Demokrasia ya kweli, ninapata taabu sana kuelewa is it that there is something I am missing au ni Demokrasia tofauti, maana mtu una mke wako unaishi naye unakuja mtaani kulalamika kwamba hafai lakini the next thing ana Mimba yako wewe mwenyewe now next time ukisema mke wako hafai ninakusikilizaje? How do I trust anything you say anymore?

- Something is a miss na our Democracy, I am not a Lowasa's Fan but nikisema kama ninvyosema hapa ninakuwa nimepewa pesa na Lowasa na nikisema Membe anafaa zaidi ya Lowasa ninakuwa nimepewa pesa na Membe, halafu ni a serious uadui I mean what Democracy is this? Wananchi wote tumeona jinsi Lowasa anavyojaza Wananchi kwenye mbio zake za kutafuta Urais ni FACT now here comes other theories kwamba sitakiwi kusema hivi kwa sababu Lowasa anawanunua hawa wananchi, jamani how do I say that bila FACTS? Binafsi nimehusika sana kuisaidia Kamati ya Richmond nikiwa ninaishi nje tena kupitia hapa hapa JF ni kwa sababu I knew beter, nilikuwa ninajua kwamba Richmond hawakuwa na Ofisi Texas na iliyokuwepo ilikuwa ni ofisi ya magazeti sio Kampuni ya Umeme, so for that matter nilikuwa ninapigana nikiwa na FACTS and EVIDENCE. Now do I have evidence kwamba Lowasa amewanunua wote wanaomshabikia NO, je hao Wakuu wa CCM wanazo FACTS and EVIDENCE? Great watuwekee wazi tuzione ili watuwazima wenye akili timamua tuzichambue tuone ukweli, kwenye kesi ya Richmond tuliweka FACTS and EVIDENCE from here JF ambazo zilipelekea Lowasa mwenyewe kushindwa kupigana nazo mpaka akajiondoa Uwaziri Mkuu.

- Now my point here is CCM please tuonyesheni FACTS and EVIDENCE in the public kuhusu wale wote wanaonunua support kwenye huu urais na kama Lowassa ananunua Support pia tuwekeeni kama ilivyokuwa kwenye Richmond, ingawa CCM must get its acts together baada ya huu uchaguzi, ninajua for a FACT kwamba Rais wa sasa ametumia muda mwingi sana kushindana na maadui wake ndani ya CCM ambao hawakutaka awe Rais kutokana na tabia za CCM za kutokuwa wawazi mapema kabla ya uchaguzi wa Rais. Sasa hivi wananchi tunataka kutoana macho kisa wagombea na cha kusikitisha ni kwamba hatugombani kwa sababu ya record zao za kazi kwa Taifa hapana tunagombana kwa sababu tu ya kutofautiana kambi za Wagombea, matokeo yake kuna mpaka theories kwamba Jaji Ramadhani ndiye anayefaa maana hana makundi now ninajiuliza ni Mwanasiasa gani wa kweli Duniani ambaye hana kundi la wafuasi wake wanaomuunga mkono? Binafsi nimemsikia Jaji Ramadhani kwa mara ya kwanza alipochukua fomu tu sijawahi kusikia ameshika nafasi yoyote ya CCM kama chama ila sifa yake kubwa ambayo inaweza kuishia kumpa ushindi wa Urais CCM ni kwamba hafahamiki na hana makundi..hahahaha jamani kweli only in Tanzania.

- Wa-Tanzania tubadilike jamani Demokrasia is a good thing sio uadui na vita na unazi kama wa Yanga na Simba, hapa tunaongelea hatma ya Taifa, CCM must do something now ili mbele ya safari tuachane na mambo ya ubishi wa Yanga na Simba Wagombea wanachukua fomu za Urais ukweli unakuwa wazi based on their records za uongozi kama kuna Kiongozi wa CCM amekiuka maadili aadhibiwe au aufukuzwe Chama mapema na wananchi tujue sio kutufikisha kwenye this kind of tensions na uadui wa binafsi badala ya kupigania maendeleo ya Taifa kwanza. Tatatizo la CCM ni Process sio Wagombea, fix the process now please!!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA

Le Mutuz Nation
 
Mawazo mazuri nimeyapenda ila CCM wasingependa kuusikia huu ushauri, jivue Gamba mkuu uwe Kamanda
 
Mkuu unatuletea blah blah tu! Yaani hujui CCM imefika hapa? You must be joking for sure! Kipindi kile Hayati Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira hamkumwelewa? Badala yake alifia mkutanoni.

Nyakatiu zile Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere alipoandika "Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania" hamkumuelewa? Au ulikuwa hujazaliwa? Tena miongoni mwa walengwa wa andishi lile akiwa Mzee wako; hebu jipe japo muda mchache upate mawaidha ya mzee wako badala ya kutwa kucha na totoz! Kitabu cha Mwl. kimo humu humu JF; kipakue hapa: https://www.jamiiforums.com/jamii-i...-wetu-na-hatima-ya-tanzania-by-nyerere-2.html
 
umeandika kwa busara sana le mutuz bila kujali kuna watakaoekereka na bandiko kutokana na itikadi zao na ushabiki wao.nikupongeze kwa kusimama katika kweli,hujampendelea hata dada yako.hongera kwa bandiko linalokutofautisha sana na namna sehemu kubwa ya jamii inavyokuona.
 
Mkuu unatuletea blah blah tu! Yaani hujui CCM imefika hapa? You must be joking for sure! Kipindi kile Hayati Horace Kolimba aliposema CCM imekosa dira hamkumwelewa? Badala yake alifia mkutanoni.

Nyakatiu zile Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere alipoandika "Uongozi Wetu na Hatma ya Tanzania" hamkumuelewa? Au ulikuwa hujazaliwa? Tena miongoni mwa walengwa wa andishi lile akiwa Mzee wako; hebu jipe japo muda mchache upate mawaidha ya mzee wako badala ya kutwa kucha na totoz! Kitabu cha Mwl. kimo humu humu JF; kipakue hapa: https://www.jamiiforums.com/jamii-i...-wetu-na-hatima-ya-tanzania-by-nyerere-2.html

- So hii ndio sababu wewe unajua CCM imefikaje hapa? hahahahaha Seriously?

Le Mutuz
 
Hivi huyu lowasa ingekua china si tungemuita hayati? cc Lizaboni
 
Last edited by a moderator:
Tokea nimejiunga humu na kukufahamu nimekuunga mkono nyuzi zako 2 tu, yaani hi na ile ya NBC bank, leo umeongea kama mtu huru kabisa na sio shabiki wa kundi lolote; kwa mara ya kwanza umetofautiana na mzee Malecela baba yako, ume act as a free man (Not freeman).
 
W. J. Malecela

Mkuu umeongea maneno mazito sana, katika jambo lililonishangaza kupita kawaida ni pale hawa wagombea wa CCM walipokuwa wanamuuliza Kinana eti vp washiriki midahalo????? Really demokrasia gani hii ya kukwepa midahalo!!!!????? Halafu nashangazwa kuona wagombea ambao "they have never led anything" na hata wale waliopewa nafasi ya kulead and did things that any other fool could also do! ndio vinara wanaodaiwa kufaa. Kweli safari tunayo....
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtoa hoja bado ni kiongozi wa jumuiya ya wazazi!!!????

Kama wewe ni au ulikuwa kiongozi haya unayoandika ulipaswa kuwa umeyaona na kuysemea zamani sana, kama bado mnaweka viongozi hawana hata degree moja na katiba imependekezwa hivyo kweli unataka FACTS na EVIDENCE !!!!!?????? Facts na Evidence zinataka methodology na methods za uhakika katika zama fulani ili hizo FACTS na EVIDENCES zipatikane sasa badala ya kuhoji yanayoonekana hoji sababu sababishi.. . . . na kwa kuwa ulikuwa kiongozi basi unajua pa kuhoji sio hapa.....

Hebu tuanze na wewe kwanza na aliyekuwa/mwenyekiti wako wewe una FACTS na EVIDENCE za kuaminisha UMMA kuwa nyie mlistahili hizo bafasi kuliko wazazi wengine humo!!!???? Wewe familia yako iko wapi hadi uwe na nguvu ya kuwa kiongozi na mfano wa kuigwa!!??? Kama ni facts na EVIDENCE vianzie chini mpaka juu........uligombea Afrika Mashariki Ubunge una facts na evidence za kuweka hapa kuonesha ubora wako ambao ungepelekea kuchaguliwa wewe kuliko wengine!!!??? Ambao miongoni mwao labda ndio hao unaowataka wakupe FACTS na EVIDENCES!!!!?????

Tulia tu mkuu, uvumilivu na amani ndio imetufikisha hapa kwa mujibu wa viongozi. .. . . .so usituharibie amani na utulivu kisa tu leo unataka kuamua lako ndio utake FACTS na EVIDENCE. . . . . .huo utaratibu unaoutaka haupo. . . .kama upo basi niwekee humu mimi na wasomaji wengine tuanze kuelimika juu ya FACTS na EVIDENCES katika mfumo unaoutaka uanze kufanya kazi
 
Tokea nimejiunga humu na kukufahamu nimekuunga mkono nyuzi zako 2 tu, yaani hi na ile ya NBC bank, leo umeongea kama mtu huru kabisa na sio shabiki wa kundi lolote; kwa mara ya kwanza umetofautiana na mzee Malecela baba yako, ume act as a free man (Not freeman).

Inawezekana kesha nusa nusa toka dom kuwa lowasa tayari kapitishwa si unajua mzee ni kigogo?
 
Hivi mtoa hoja bado ni kiongozi wa jumuiya ya wazazi!!!????

Kama wewe ni au ulikuwa kiongozi haya unayoandika ulipaswa kuwa umeyaona na kuysemea zamani sana, kama bado mnaweka viongozi hawana hata degree moja na katiba imependekezwa hivyo kweli unataka FACTS na EVIDENCE !!!!!?????? Facts na Evidence zinataka methodology na methods za uhakika katika zama fulani ili hizo FACTS na EVIDENCES zipatikane sasa badala ya kuhoji yanayoonekana hoji sababu sababishi.. . . . na kwa kuwa ulikuwa kiongozi basi unajua pa kuhoji sio hapa.....

Hebu tuanze na wewe kwanza na aliyekuwa/mwenyekiti wako wewe una FACTS na EVIDENCE za kuaminisha UMMA kuwa nyie mlistahili hizo bafasi kuliko wazazi wengine humo!!!???? Wewe familia yako iko wapi hadi uwe na nguvu ya kuwa kiongozi na mfano wa kuigwa!!??? Kama ni facts na EVIDENCE vianzie chini mpaka juu........uligombea Afrika Mashariki Ubunge una facts na evidence za kuweka hapa kuonesha ubora wako ambao ungepelekea kuchaguliwa wewe kuliko wengine!!!??? Ambao miongoni mwao labda ndio hao unaowataka wakupe FACTS na EVIDENCES!!!!?????

Tulia tu mkuu, uvumilivu na amani ndio imetufikisha hapa kwa mujibu wa viongozi. .. . . .so usituharibie amani na utulivu kisa tu leo unataka kuamua lako ndio utake FACTS na EVIDENCE. . . . . .huo utaratibu unaoutaka haupo. . . .kama upo basi niwekee humu mimi na wasomaji wengine tuanze kuelimika juu ya FACTS na EVIDENCES katika mfumo unaoutaka uanze kufanya kazi

Mkuu ukisikia kusoma alama za nyakati ndio hii,aliofanya le mutuz
 
Mkuu ukisikia kusoma alama za nyakati ndio hii,aliofanya le mutuz

Evidence na Facts ni zao la scientific procedure yenye objectivity isiyo na mashaka hakuna blah blah unapolenga objectivity. .. . . . .hili halina patchy work....yeye ni mmoja wa walionufaika na mfumo huu usiofuata facts na evidence ili aweze kuongelea hili lazima yeye akubali haya la sivyo mtu subjective hawezi kuwa na authority ya kuongelea mambo yanayohitaji objectivity!!!!!

Kwenye siasa acha waseme watakavyo ila kwenye intellectuallity kuna ethics.........sio sehemu kila mtu anasema atakacho no way.......there has to be REFLEXIVITY
 
huyu attention sicker katokea wapi?
baba yako mwenyewe anasema lowasa fisadi,wewe na baba yako nani anamjua zaidi lowasa?
Alafu usipende kutafuta sofa za kijinga humu,kazitafutie Instra huko,eti una brag kwenye Richmond ulisaidia kazi za time kwa kuweka fact,acha basi uongo wewe mzee,hata Kama ulisaidia does it worth bragging here??
Kama kwenye Richmond kulikuwa na facts,then automatically lowasa hafai because Richmond sio ilisababisha akafukuzwa uwaziri mkuu,though nyie mnasema aliejiuzuku..my nose.
Nani ajui (labda wewe) kwamba kuna wagonbea wanatoa pesa na Ku facilitate usafiri wa kuwasogeza wananchi kwenye mikutano ya lowasa and hili hukikui the big daddy au umeamua kujifiatua akili ad usually !!??
what are the qualities of the best president,is it uadikifu au usikunyingi kwenye chama? you can't compare judge Ramadhan na lowasa kuhusu uadilifu hata siku moja unless you are in sane.lowasa huyu huyu OMG.
hivi wewe mzee hizo fact unazozitaka kum pin down lowada, wewe unazo za kumsafisha,can you tell us some good if not nasty history about lowasa tikea ulipo mjua,what of our ranches,Aicc,Richmond and many many more in told truth about him.
we know you are jobless,jitaid kumtetea anaweza akapata na wewe ukaambukia ukuu wa kitengo cha kum kum entertain the king.
 
Bro umenigusa sana kama mwana CCM mwezagu. Nashangaa sana kauli za kina Nape wakati kama viongozi walipaswa kuwachukulia hata mapema hao wanaowatuhumu kwamba wana kashfa na hawafai kuliko kuja kutugawa kipindi hiki wakati CCJ yao wakiwa wameitelekeza kuzimu.
 
Back
Top Bottom