CCM tuambieni kuna nini hapa?

Tky

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Messages
439
Points
170

Tky

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2012
439 170
Nimepita makao makuu ya CCM DODOMA, kuna mziki mkubwa unapgwa na wanaccm wanacheza huku wakiwa wamevalia mavazi yao ya chama, lakini nimeshindwa kujua kinacho endelea. Tunaomba mtujunze munasherekea nini wenzetu?
 

Forum statistics

Threads 1,392,167
Members 528,552
Posts 34,100,446
Top