CCM to rule for many years to come-STUDY

Ndugu wanaJF; Chama cha mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kura nyingi katika uchaguzi ujao hata kama watu watapinga lakini ukweli ndiyo huu.

Kumekuwa taarifa za vijana kujiunga cdm na baadhi ya wazee lakini kuna hazina kubwa sana ya kura za CCM. Vijana ambao wamejitambua zaidi wamekuwa wakijiunga CCM na wenye ufikiri mdogo ndiyo wanaenda CHADEMA.

Pia waswahili walishasema usimwamshe aliyelaa ila cdm wamewaaamsha ccm na mambo yanayofanywa na CCM sasa yatawalainisha wananchi na kuipigia kura tena CCM.

Najua wapo mtaaopinga na kutukana lakini huo ndiyo ukweli.

--------.......mpumbav
 
Safi sana "If wishes were horses; everyone could ride one!!!"; inaelekea wewe ni zao la shule za EL za Kata; basi, tumia msemo huu: (Kama ndoto zingekuwa Pikipiki; kila mtu angeendesha ya kwake!!"
 
Ndugu wanaJF; Chama cha mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kura nyingi katika uchaguzi ujao hata kama watu watapinga lakini ukweli ndiyo huu.

Kumekuwa taarifa za vijana kujiunga cdm na baadhi ya wazee lakini kuna hazina kubwa sana ya kura za CCM. Vijana ambao wamejitambua zaidi wamekuwa wakijiunga CCM na wenye ufikiri mdogo ndiyo wanaenda CHADEMA.

Pia waswahili walishasema usimwamshe aliyelaa ila cdm wamewaaamsha ccm na mambo yanayofanywa na CCM sasa yatawalainisha wananchi na kuipigia kura tena CCM.

Najua wapo mtaaopinga na kutukana lakini huo ndiyo ukweli.

N i kweli usemacho Mkuu maana hata Arusha udiwani mmenshinda kwa kishindo. Tunakuombea
 
Kwa staili hii mliyoianzisha ACT na CHADEMA,nimeamini kwamba ccm wataendelea kutawala karne na karne.inaniuma sana watanzania kuwagawa kwa staili kama hizi,kama zitto ameamua kuwauza watanzania kwa staili hii,hakika hata huko act endapo chama watakiamini wajiandae tena maumivu.hii ni kwa sababu zitto zitto hatuamini harakati zake.
 
Act ni mkono wa shetani dhidi ya haki ya umma.ccm sawa na marekani inayowatumia waarabu kuuana.act =ccm
 
With or without Zitto UKAWA will rule. We Tanzanians are tired of this exploitative scheme by ccm, many ccm leaders are too corrupted to change. We take the popular slogan of His Excellence pres. B. Obama, "TIME FOR CHANGE" in TZ. The downfall of ccm is inevitable.
 
Ndoto za mchana hizo ukawa wote wasaka tonge tu,chadema ni saccos ya wachaga kutafuna ruzuku na kupiga deal,cuf ndo walewale kwenye ndoa na ccm,Mbatia mbunge wa kuteuliwa na kikwete na anatekeleza maslahi ya ccm wewe kama msomi hutakiwi kudanganyika eti ukawa ni ukombozi,
 
ni katika ngazi zote kuanzia urais hadi udiwani.chama kinakubalika na zaidi baadhi ya majimbo ambayo wapinzani waliazimwa wananchi wameahidi kuyarudisha ccm.

Hadi sasa hakuna chama kinachoweza kuitikisa ccm..sana ni kelele Za chura tu.watabaki kuwa wasindikizaji tu

My Take. Ccm tupatieni rais bora.wabunge bora na madiwani bora..
 
Dah haya bhana. Kuna ccm mmoja alisema Chadema isingefika 2015 lakini hahaaaaaa ngoja ninywe chai
 
Sasa huo ushindi ni upi kama mwishi unaomba CCM iwatafutie kiongozi viongozi bora? Yaani hata viongozi hamna unatangaza ushishi? Kweli heri ukose mali uwe na akuli.
 
Itakuwa unakichaa cha mbwa kusema ccm wanakubalika, miaka 52 ya huruku nchi imeifilisi,
Wananchi wameshuhudia majimbaxi wa ccm wakipiga mabilion ya pesa huku mahospitol hakuna huduma za uhakika,
Vijana wanamaliza vyuo vikuu wako mtaan hakuna ajira, mmeua viwanda vingi sn mmeuza mashirika ya umma,
Tanzania ni nchi tajira sn kila mtanzania analijua hilo ila watanzania ni maskin wa kutupwa mlo mmoja shida,
Mliahid maisha bora kwa kila mtanzania huku mkijitapa uchum umeongezeka ila tunaona vitu bei juu ikiwemo sukar na kadhalika,
Leo hii unakuja kusema hapa ccm inapendwa na itaendelea kutawala kwa lipi?
Napenda kukuhakikishia hakuna mtanzania anayeitaka mmeua watanzania wengi mno,
Ukitaka kuthibitisha hilo mkoa ulioko vaa kijan halafu tembea naxo mtaam laxima utasikia manung'uniko ya wananchi,
Polen ila jipangen kuwa wapinzan wa nchi hii kaani pemben.
 
ni katika ngazi zote kuanzia urais hadi udiwani.chama kinakubalika na zaidi baadhi ya majimbo ambayo wapinzani waliazimwa wananchi wameahidi kuyarudisha ccm.

Hadi sasa hakuna chama kinachoweza kuitikisa ccm..sana ni kelele Za chura tu.watabaki kuwa wasindikizaji tu

My Take. Ccm tupatieni rais bora.wabunge bora na madiwani bora..

...mnajihakikishiaje ushindi wakati hamjapata rais bora,wabunge bora na madiwani bora!!!???...
 
ni katika ngazi zote kuanzia urais hadi udiwani.chama kinakubalika na zaidi baadhi ya majimbo ambayo wapinzani waliazimwa wananchi wameahidi kuyarudisha ccm.

Hadi sasa hakuna chama kinachoweza kuitikisa ccm..sana ni kelele Za chura tu.watabaki kuwa wasindikizaji tu

My Take. Ccm tupatieni rais bora.wabunge bora na madiwani bora..

Nahisi wewe sie kijana kama kijana nakuomba kila utembeapo uwae unasema UZALENDO sawa
 
ni katika ngazi zote kuanzia urais hadi udiwani.chama kinakubalika na zaidi baadhi ya majimbo ambayo wapinzani waliazimwa wananchi wameahidi kuyarudisha ccm.

Hadi sasa hakuna chama kinachoweza kuitikisa ccm..sana ni kelele Za chura tu.watabaki kuwa wasindikizaji tu

My Take. Ccm tupatieni rais bora.wabunge bora na madiwani bora..

Kama hili lingewezekana mbona tungekuwa tayari bora; si tayari wameshatoa Rais, wabunge na madiwani.. au hawakuwa bora?
 
Ndugu wanaJF; Chama cha mapinduzi (CCM) kitashinda kwa kura nyingi katika uchaguzi ujao hata kama watu watapinga lakini ukweli ndiyo huu.

Kumekuwa taarifa za vijana kujiunga CHADEMA na baadhi ya wazee lakini kuna hazina kubwa sana ya kura za CCM. Vijana ambao wamejitambua zaidi wamekuwa wakijiunga CCM na wenye ufikiri mdogo ndiyo wanaenda CHADEMA.

Pia waswahili walishasema usimwamshe aliyelaa ila cdm wamewaaamsha ccm na mambo yanayofanywa na CCM sasa yatawalainisha wananchi na kuipigia kura tena CCM.

Najua wapo mtaaopinga na kutukana lakini huo ndiyo ukweli.

vise versa
 
Back
Top Bottom