CCM to rule for many years to come-STUDY

CCM to rule for many years to come-STUDY

Mkuu Kashaga
Umejiunga na JF tarehe 19 April 2013 wiki jana na location yako ni Morogoro. Ni kipindi hicho hicho Kinana katibu mkuu wa CCM na Nape katibu mwenezi wa CCM wakiwa katika ziara ya kikazi ya wiki moja mkoani Morogoro. Najaribu kupata tafsiri tu.



hiyo study imefanywa na maprofesa wa canada, watu wenye ueledi wa hali ya juu katika siasa! Ikifanywa na kina bana mnasema maprofesa na njaa na wanajikomba, sasa imefanywa na wageni bado mnasema ipo bias......wakati mwingine tujifunze kukubali hata mambo ambayo hatupendi kusikia..that is democracy
 
Huyu Prof atakuwa katumwa na Barrick kuhalalisha uwpo wa MaCCM!

BTW, Mkuu Mchambuzui kaelezea kuhusu tafiti hii kwa perspective inayoeleweka!
 
Mkuu Kashaga
Umejiunga na JF tarehe 19 April 2013 wiki jana na location yako ni Morogoro. Ni kipindi hicho hicho Kinana katibu mkuu wa CCM na Nape katibu mwenezi wa CCM wakiwa katika ziara ya kikazi ya wiki moja mkoani Morogoro. Najaribu kupata tafsiri tu.
Nafurahi kuona umeguswa hadi ukaamua kutembelea profile yangu! karibu sana, kujiunga tarehe Fulani au mwezi Fulani haimaanishi mtu ni mgeni humu, wengi tumekuwa tukifatilia JF kama guests..nafikiri ukicheki idadi ya guests humu huwa ni wengi sana mkuu
 
hiyo study imefanywa na maprofesa wa canada, watu wenye ueledi wa hali ya juu katika siasa! Ikifanywa na kina bana mnasema maprofesa na njaa na wanajikomba, sasa imefanywa na wageni bado mnasema ipo bias......wakati mwingine tujifunze kukubali hata mambo ambayo hatupendi kusikia..that is democracy
Mimi nakushauri bure; fanya utafiti wako; huu utumwa wa kufanyiwa utafiti na watu kutoka nje ndiyo tunaishia kuwa kama mabata viwete. Hii study aliileta Mchambuzi ikiwa na takwimu, tukazijadili na mjadala unaendelea.

Hitimisho lake kivyangu NI UTAFITI USIO NA HITIMISHO SI VYEMA KUUTUMIA KATIKA MKAKATI WO WOTE WA MAANA kutokana na mazingira, sampuli ya maswali na walioyajibu na wakati yaliyotumika.

Kwa masilahi ya CCM furahieni lakini msisahau kuwa CCM imekuwa kwenye madaraka kwa ghilba la laghai wakati wapiga kura wao (hwajulikani) wako katika hali ya kondom iliyotumika.
 
Mimi nakushauri bure; fanya utafiti wako; huu utumwa wa kufanyiwa utafiti na watu kutoka nje ndiyo tunaishia kuwa kama mabata viwete. Hii study aliileta Mchambuzi ikiwa na takwimu, tukazijadili na mjadala unaendelea.

Hitimisho lake kivyangu NI UTAFITI USIO NA HITIMISHO SI VYEMA KUUTUMIA KATIKA MKAKATI WO WOTE WA MAANA kutokana na mazingira, sampuli ya maswali na walioyajibu na wakati yaliyotumika.

Kwa masilahi ya CCM furahieni lakini msisahau kuwa CCM imekuwa kwenye madaraka kwa ghilba la laghai wakati wapiga kura wao (hwajulikani) wako katika hali ya kondom iliyotumika.

Mkuu utafiti ukifanywa na yeye au taasisi za ndani bado hamtaamini , lazima mtasema tu kuwa ni mbinu za CCM, hata huu pia wa mgeni unauita ni utumwa unataka malaika washuke waje kufanya kazi ya binadamu ndio uridhike mkuu, inafikia mahali watu mkubaliane na hali halisi
 
Wana JF heshima kwenu wakuu;

Kuna mdau mmoja katutonya hapa Jamvini kuhusiana na issue ya CCM kuajiri vijana wasio jitambua, wa kawa- mbwa waliozungusha round about, kazi yao kubwa ikiwa ni kushinda na kulala kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya kupika na kusambaza uongo na majungu. Nashawishika kusema Revocatus Kashaga ni miongoni mwao; Have a look;

Join Date : 19th April 2013

Location : MOROGORO TANZANIA
Posts : 20

Rep Power : 305
Likes Received10
Likes Given2

Ha! Ha! Ha! Ha! Mbona umemmaliza Mapema ? Ungemuacha apate posho japo ya wiki hii tu ! kuna Mdau alileta huo utafiti juzi kwa uchambuzi Makini sana , siyo hovyo hovyo kama huyu dogo .
 
Mkuu,

Hata hapa nchini tunao maprofesa kibao, tukianzia na Maji Marefu wa Korogwe.

Usiwe mwepesi wa kuabudu kila mtu anayekuja kwa cheo (title) cha profesa, hata jk anaitwa Dr kwa nguvu sana wakati sijaona hata research proposal yenye jina lake.

Mwalimu aliandika vitabu vingi sana na 'articles' mbalimbali zilizonukuliwa kimataifa, alikuwa na honorary doctorate kibao, lakini hakujisifu kwa cheo cha Dr. kama jk. Alikuwa mtu aliyejua kujishusha na kubaki na jina la hadhi ya 'Mwalimu' mpaka kufa kwake.

Hao waliofanya huo utafiti na wewe unayewapigia debe mnaonyesha kutokuelimika. Tafiti zinazofanywa Canada, Qatar, Istanbul n.k. haziwezi kutoa picha sahihi ya mtanzania wa kijijini leo hii, ambaye hana maji, hana barabara, hana huduma za afya, watoto wake hawana tegemeo la kupata hata huduma ya elimu, walimu hawana mishahara, madaktari hawana vitendea kazi n.k. Sambamba na utafiti huo kuna tafiti nyingi sana zilizofanyika zinazoonyesha sura tofauti sana na hii ya watafiti wako 'maprofesa wenye weledi'.

Fungua macho uone. Laboratory yetu ni kijiji cha Tanzania! Acha kuimba wimbo usioujua kama kasuku wa baniani.
 
Kuna ukweli furani japo wengi hatutaipenda!

Uwingi wa watu kwenye mikutano na maaandamano ni tofauti na wingi wa kura kwenye ma-box.

Kwanini usiwe na wasiwasi ha hiyo research badala yake uwe na wasiwasi na wingi wa watu kwenye mikutano?
Ukweli ni kuwa hata hiyo research sio wingi wa kura kwenye box.
Kifupi 2015 mtaisoma, iwe chadema, Cuf, nccr , cck au Udp, kuisoma ni lazima.
 
usahuri, soma thread iliyochambuliwa na Mchambuzi wa jf hii hii juu ya utafiti huu wa bwana Gorman na mtazamo wake na wachangiaji wengine kwenye jukwaa hilihili la siasa. CHADEMA:KUINGIA IKULU NI DHAIRI,KUBAKIA NI ULAKINI
 
Bwana Mdogo, uhusiano wa tarehe uliojiunga Jf , location na ziara ya Kinana Morogoro vimenifanya niudharau kabisa uzi wako ! Msukumo wa Mwandishi umetokana na POSHO !
 
Mkuu utafiti ukifanywa na yeye au taasisi za ndani bado hamtaamini , lazima mtasema tu kuwa ni mbinu za CCM, hata huu pia wa mgeni unauita ni utumwa unataka malaika washuke waje kufanya kazi ya binadamu ndio uridhike mkuu, inafikia mahali watu mkubaliane na hali halisi

1. Pole sana utafiti una misingi na vigezo vya kuufanya. Hatukuonyeshwa vigezo hivyo hata kama atashuka shetani kufanya utafiti huo. "Kutokana na mazingira, sampuli ya maswali na walioyajibu na wakati yaliyotumikaHii ndiyo hoja. Ila kwa sababu mnadandiaga hata kupiga tafiti (REDET, SYNOVATE) kwa mpango mzima wa uchakachuaji endelea kuamini na kuhitimisha unavyotaka wewe na CCM.

2. Kuchukulia sentense tatu kuwa ndiyo kila kitu ni UAMA (Upungufu wa Akili na Maarifa) ambao ndiyo nguzo ya kuwepo CCM madarakani.

3. Maiti tu ndiyo inakubali hali halisi, hata CCM haikubali hali halisi sembuse wenye akili zao timamu.
 
Mmmh.....nakosa kuelewa katika hili, 1.kwanini research ilifanyika mikoa hiyo na sio mingine? 2. research ilifannyika lini? 3. kwanini tuamini hivyo wakati tunajua wananchi weng wanapatikana mjini kuliko vijijini then vipi kama 80% ya urban dwellers watapiga kura na wakakipigia chama pinzani? The assumptions settled out by the study are too weak! I dont, i dont, i dont believe.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Mbona umemmaliza Mapema ? Ungemuacha apate posho japo ya wiki hii tu ! kuna Mdau alileta huo utafiti juzi kwa uchambuzi Makini sana , siyo hovyo hovyo kama huyu dogo .

endelea kufikiri hivyo hivyo unavyowaza....akili ndogo hata mawazo yao huwa ni mafinyu sana
 
Jadwali La Kwanza: Kwanini Wanavijiji/Wakulima wanaunga Mkono Upinzani
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Wanaguswa na Umaskini wa Watanzania
[/TD]
[TD]35%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wana Nguvu
[/TD]
[TD]17%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wana Sera Bora
[/TD]
[TD]12%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ni Chama Cha Maendeleo
[/TD]
[TD]9%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wanajali maendeleo Katika Jamii Yangu
[/TD]
[TD]9%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Upinzani utaimiarisha Uchumi
[/TD]
[TD]6%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wanajitambulisha Vyema na Wakulima
[/TD]
[TD]6%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Upinzani Unajitambulisha Vyema na Kabila Langu
[/TD]
[TD]3%
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tunahitaji Mabadiliko
[/TD]
[TD]3%
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
huu ni utafiti huu wa Gorman ambao upande wa pili wa jedwali mtoa mada na source wako(kama ulinukuu ukiwa fair) hamjaweka ili tuweze fanya uchambuzi wetu pia
 
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Study: Rural voters to keep CCM in power for eons[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Monday, 22 April 2013 22:27
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]

​
0000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000ajk.jpg
By Songa wa Songa
The Citizen Reporter

Dar es Salaam. The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) can rest assured of remaining in power for the foreseeable future, thanks to rural voters who comprise 80 per cent of the population, according to a study released recently.
Why CCM Won’t Lose: The Roots of Single-Party Dominance in Tanzania, a report authored by Prof Melanie O’Gorman of the Department of Economics at the University of Winnipeg in Canada, reckons that the party’s rural base will keep it comfortably in power for many years to come.
The survey lists four main reasons why CCM is the party of choice in the villages – it performed well during the single-party system (24.1 per cent), it is the only strong party (18.6 per cent), it has been good at maintaining peace (18.2 per cent) and it championed independence (8.4 per cent).
The findings are based on a study conducted with the assistance of the Morogoro-based Sokoine University of Agriculture in seven regions--Mtwara, Iringa, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Mwanza and Shinyanga. Two hundred and eighty six farmers were interviewed.
It would appear that opposition parties hoping to trounce CCM must brace themselves for a long wait for the warm feelings for the independence party to fade and for a strong and credible challenge to emerge.
According to the study, CCM remains invincible mainly due to the absence of a strong opposition that can penetrate rural constituencies with alternative messages.


A lack of a strong alternative among the political parties seems to be a prime reason for this loyalty, as does a sense of nostalgia for the party which brought them independence and which has maintained relative peace.”
According to CCM National Secretary-General Abdulrahman Kinana, the findings reflect the reality that CCM is the only party that reaches the majority of Tanzanians and responds to their aspirations.
On the paradox of the party neglecting its base--rural farmers--Mr Kinana admits that the government did not perform well in that area.
The distribution of subsidised fertiliser was marred by corruption, he added, and extension services and marketing of produce did not go well.
Mr Kinana blamed CCM, not the voters, for the beating it received from the opposition in 2010 election in Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Iringa and Lindi.
He added: “We had problems in the nomination of candidates. We ended up with wrong candidates due to corruption, nepotism and other malpractices. We have learnt our lesson. Next time, we are going to field the people’s choice and the outcome will be stunning.”
The Civic United Front deputy secretary-general in the mainland, Mr Julius Mtatiro, dismissed the findings as out-of-date and said they contradicted the actual position on the ground.
The punches CCM suffered in the 2010 general election were the real indicators that the independence party was in trouble, he said, and the gains made by the opposition would extend to the rural areas in 2015.
He added: “I warn CCM not to celebrate this report. If we get a good constitution and really independent electoral commission before 2015, they (CCM) should start packing.”
NCCR-Mageuzi National Chairman James Mbatia said the CCM strengths highlighted in the study were minor and the survey had not touched on the major issues that would continue to hand CCM victory in elections.
The real strength of CCM, he said, lay in the Elections Act of 1985 and the entrenchment of the party in the public administration system.
The current chairman of the Tanzania Centre for Democracy said that during elections, returning officers at district level are district executive officers (DEDs) who are civil servants.
“But DEDs report to the district commissioners (DCs) who are presidential appointees and CCM cadres,” he added. “How do you expect an election to be free, fair and transparent under such circumstances?”
Mr Mbatia, who is also a nominated MP, claimed that, thanks to the powers of DCs, opposition parties lose elections even before they are held since CCM has advance information on behind-the-scene plans and activities of opposition parties.
He added that, as chair of the defence and security committee in the district, the DC is also the boss to whom all security organs in the district report, including the police Officer Commanding District.
“Under the pretext of defence and security, the DC who is a CCM cadre has the privilege of gathering intelligence on the plans and activities of opposition parties in advance which he/she presents to CCM for counteraction,” he charged.
“CCM is not a political party like any other,” Mr Mbatia said. “It is practically a state party and, for the sake of democracy in this country, our focus should be on uprooting its entrenchment within state organs.”
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) secretary-general Dr Willibrod Slaa said he would respond after reading the report.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
The ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) can rest assured of remaining in power for the foreseeable future, thanks to rural voters who comprise 80 per cent of the population, according to a study released recently.Why CCM Won't Lose: The Roots of Single-Party Dominance in Tanzania, a report authored by Prof Melanie O'Gorman of the Department of Economics at the University of Winnipeg in Canada, reckons that the party's rural base will keep it comfortably in power for many years to come. The survey lists four main reasons why CCM is the party of choice in the villages – it performed well during the single-party system (24.1 per cent), it is the only strong party (18.6 per cent), it has been good at maintaining peace (18.2 per cent) and it championed independence (8.4 per cent). The findings are based on a study conducted with the assistance of the Morogoro-based Sokoine University of Agriculture in seven regions--Mtwara, Iringa, Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Mwanza and Shinyanga.It would appear that opposition parties hoping to trounce CCM must brace themselves for a long wait for the warm feelings for the independence party to fade and for a strong and credible challenge to emerge.According to the study, CCM remains invincible mainly due to the absence of a strong opposition that can penetrate rural constituencies with alternative messages.According to CCM National Secretary-General Abdulrahman Kinana, the findings reflect the reality that CCM is the only party that reaches the majority of Tanzanians and responds to their aspirations.SOURCE: THE CITIZEN

Mkuu mbona imeandikwa kwa kiingereza???vijana wa pale kinondoni hawawezi kuelewa.
 
Jedwali la Pili: Kwanini Wanavijiji/Wakulima wanaunga Mkono CCM
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]CCM ilifanya mazuri chini ya mfumo wa chama kimoja[/TD]
[TD]24%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM ni chama pekee chenye nguvu[/TD]
[TD]19%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM imedumisha Amani na Utulivu[/TD]
[TD]18%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM ni Chama kinachojitambulisha Vyema na Wakulima[/TD]
[TD]8%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM imetuletea uhuru[/TD]
[TD]8%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM ni Chama Cha Siasa pekee ninachokifahamu[/TD]
[TD]5%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ninaipenda CCM[/TD]
[TD]4%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM ni Chama Cha Maendeleo[/TD]
[TD]4%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM wataimarisha Uchumi[/TD]
[TD]4%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM ni Chama kinachojitambulisha Vyema na wafanyabiashara[/TD]
[TD]3%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM kinajitabulisha vyema na Kabila langu[/TD]
[TD]1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Naiunga mkono CCM lakini natarajia kubadilisha msimamo wangu[/TD]
[TD]1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM imetuletea maendeleo katika jamii yetu[/TD]
[TD]1%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM ni wahafidhina (Conservatives)[/TD]
[TD]0
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Somehow yes, somehow no!! miaka 15 iliyopita niliwahi kuongea na marafiki tukifuatilia mambo ya vyama vingi na nilisema kuwa CCM itaondolewa madarakani baada ya vipindi 3 tokea kuanza kwa mfumo wa vyama vingi! lkn kwa namna moja au nyingine mtoa mada hapo juu amegusia sababu japo nyingi kwa sasa hazina umuhimu sana. Iwapo vyama vya upinzani au upinzani unataka kushika madaraka ki- ukweli basi kuna kete moja ya Muhimu sana ambayo inabidi ichezwe ili kupata ushindi nayo ni Umoja miongoni mwao!! Chadema inaelekea kukubalika kwa sehemu kubwa na hiyo inawapa kujiamini ambako ni hatari wkt mwingine hupelekea kujisahau kuwa CCM wanasikiliza kelele zao na kuzifanyia kazi. Kukiwa na umoja ni rahisi kuwashawishi wapiga kura Watanzania ambao kwa mtazamo wangu huwa si rahisi kupokea mabidiliko na huu ni umeshakuwa utamaduni wetu. Ukiwa si mtafiti sana unaweza kuwachukulia wa- Tanzania kuwa ni watu wasiofuatilia mambo lkn unasahau kuwa kwa amani tuliyonayo na historia yetu imepelekea kuwa na mchanganyiko mkubwa hivyo tabia za kutumia nguvu kudai au kusisitiza jambo huwa ni hatua ya mwisho sana kuchukuliwa na wengi wetu. Na hapa nitakupa mfano mmoja tu- kuna wakati nilitamani Lyatonga Mrema apewe kuongoza nchi angalau kwa miezi 3 tu!! lkn watanzania tusiopenda mabadiliko na kufuata sheria tuamua kumtosa baada ya baadhi ya ndugu, marafiki, wafanyabiashara kuanza kuguswa moja kwa moja,,,, yaani kwetu sisi soo likuwa kwa jirani huwa hatujali ila likitukuta basi ndipo tunaamka. Najua kuwa wapinzani wana matumaini makubwa sana kufuatia propaganda na idadi ya watua wanaohudhuria au kufuatilia mikutano yao, lakini ukifuatilia kwa karibu zaidi utagundua kuwa Bado watanzania wana wasiwasi sana kufanya mabadiliko. wito wangu ni kwa wapinzani kuwa na umoja na ujaribu kuwa makini na kauli zinaoelekezwa kwa wa- tanzania ambao ni Victims wakubwa wa UJAMAA na wanaamini sana katika UMOJA!! otherwise ntashawishika pia kuongeza miaka mingine 5 kwa CCM kuachia mdaraka!! napita......
 
Sijaguswa sana kama unavyofikiria na wala sijatembelea profile yako. Ninapofungua page ya JF kwenye PC yangu upande wa kulia Profile ya aliyepost uzi inajionyesha. Hamna zaidi ya hapo.



Nafurahi kuona umeguswa hadi ukaamua kutembelea profile yangu! karibu sana, kujiunga tarehe Fulani au mwezi Fulani haimaanishi mtu ni mgeni humu, wengi tumekuwa tukifatilia JF kama guests..nafikiri ukicheki idadi ya guests humu huwa ni wengi sana mkuu
 
Back
Top Bottom