Umemeza kama alivyotania JPM! PoleKwa maendeleo gani wakati leo watagaiwa wajumbe, magari ya hela yanajiandaa kwenda ukumbini na askar wa Kutosha
CCM ni chama tawala. Rais yuko sahihi.Hivi huyu jamaa yuko na mambo ya ccm muda wote yuko likizo?
Ndio ukweli huo lazima 50 zitoke, pole piaUmemeza kama alivyotania JPM! Pole
CCM ni dude kubwa.Ndio ukweli huo lazima 50 zitoke, pole pia
Zinakuuma, zako? Karai la zege bwanaKwa maendeleo gani wakati leo watagaiwa wajumbe, magari ya hela yanajiandaa kwenda ukumbini na askar wa Kutosha
Hamnazo kichwani, endelea kubwabwaja!!Zinakuuma, zako? Karai la zege bwana
wauwa mbwa akili hamna wacheni ktumia kodi zetu hovyo hovyo aiseesipati picha wazika mbwa wakavyo sema
Rais alikua anatania