CCM Taifa Imeipa Jumuiya ya Wazazi wa CCM sh. Mil. 250 kwa ajili ya maendeleo

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameyasema hayo leo mjini Dodoma wakati wa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa jumuiya hiyo.
 
Kwa maendeleo gani wakati leo watagaiwa wajumbe, magari ya hela yanajiandaa kwenda ukumbini na askar wa Kutosha
 
Uchungu wa Mwana aujuaye mzazi. Safi sana JPM saidia hiyo Jumuiya maana ilianza kiwa na hali mbaya
 
Back
Top Bottom