Ngandema Bwila
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 1,017
- 256
walichofanya uvccm ni muendelezo wa mafisadi katika kuhakikisha wanafanikisha malengo yao
Nafikiri kuna mengine mengi tu UVCCM waliyotamka kwa faida ya wananchi....lakini eehe JF akisemwa vibaya Dr Slaa basi watu hawaoni tena.
May be in this post you will get time to console each other..lakini binafsi sitomuunga mkono Slaa wala Kikwete kama mtu anayeweza kuongoza taifa hili. Ushabiki wa vyama vya siasa sio mtazamo wangu
Dr Slaa ni Rais wa waTanzania mioyoni mwetu, rais wa ukweli tuliyemchagua kwa kura milioni 6 mkachakachua
MM, matusi yalianzia Ikulu kisha wakawaelekeza Masheikh -- hawa vijana wanapigia msitari maelekezo toka Ofisi ya Mwenyekiti wao. Kudhani kuwa watakalipiwa ni sawa na kudhani ipo siku Mt. Kilimanjaro utawia Moshi na kuchwea Kigoma.Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini itakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake.
Hao CCM watukanwe mara ngapi? Sometime watu mnaposti vituko humu ndani.. Nakumbuka wewe binafsi ulishakuja na tusi la dada mwenye gauni jekundu... umeshahau mara hii?Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.
Yeyote anaye sahbikia mzinzi analiwa t***.
Slaa ni mzinzi aliyejitangaza hadharani.
Heko vijana tamko lenu limechelewa sana, natamani muitishe maanadamano nchi nzima ili cdm waone kuwa pps power haiko kwao
Yeyote anaye sahbikia mzinzi analiwa t***.
Slaa ni mzinzi aliyejitangaza hadharani.
Heko vijana tamko lenu limechelewa sana, natamani muitishe maanadamano nchi nzima ili cdm waone kuwa pps power haiko kwao
Mbona kila siku naona matusi humu jf dhidi ya jk? unataka mumtusi mara ngapi?
Nyerere alisema wakti ule anawkemea akina Malechela: Chezea vitu vingine lakini usichezee taasisi ya Urais.Lakini kila mara naona matusi dhid ya jk sas leo MM unataka kutwambia nini?