Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
Nafikiri kuna mengine mengi tu UVCCM waliyotamka kwa faida ya wananchi....lakini eehe JF akisemwa vibaya Dr Slaa basi watu hawaoni tena.
May be in this post you will get time to console each other..lakini binafsi sitomuunga mkono Slaa wala Kikwete kama mtu anayeweza kuongoza taifa hili. Ushabiki wa vyama vya siasa sio mtazamo wangu
... it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.
Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.
Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.
ucjaribu kuzipotosha bongo za watanzania.... kikaango kipi ambacho bado hakijageuzwa. CDM imeshageuza kikaango chake pande zote na mara nyingi sana kiasi ambacho kikaango chenyewe kimepoteza ile rangi yake halisi.I'm very serious; kuna msemo wa kiingereza kuwa "all is fair in love and war".. na UVCCM wamethibitisha hilo. Tatizo ni kuwa kikaango kitakapogeuzwa kwa upande mwingine patakuwa pachungu kweli.
Inashangaza kuona hawa vijeba (UVCCM) kutoa matamko yanayofanana na mtu anayeharisha choo cha stendi kuomba kopo la maji. Fikiria
1. Wanadai baraza la mawaziri linagongana, chanzo Dowans. They move futher to suggest kuwa sitta na mwakyembe wapigwe chini (by implication.2. Pili wanadai Dowans isilipwe vinginevyo watahitisha maandamano. My question, ni kitu gani wanatetea wakati hao hao wanaotetea Dowans isilipwe na Serikali ya kifisadi ya kikwete wanawapinga. Hivi hawa vijana wana akili kweli.
3. Wanashindwa kutoa tamko dhi ya EPA, IPTL, DEEP GREEN, Kiwira, RADA, Ndege ya rais, ATCL, mfumuko wa bei, uchakachuaji wa kura, mauaji ya raia yanayofanywa na kikwete under what he calls 'police' mauaji ya arusha, matamko ya kishetwani ya baadhi ya watu wachache wanojiita "Jopo la mashehe', nk, mazimwi yanayotishia ustawi wa jamii yetu.
My take
James Ole Millya, Beno Malisa, Kawawa; hawa ni CRAP who are synergized by Lowasa na rafiki Zake J.K na RA. Ukiangalia kwa undani utagundua hili kundi la wahuni limetumwa na hawa jamaa na kupewa hadidu za rejea. Refer maneno yao "Tunaitaka Serikali kuwataja rasmi wamiliki wa Richmond ili ijulikane kipi ni kipi na hoja hii irudi bungeni ili Watanzania wajue nani aliifikisha Serikali hapa ilipo, kama ni Tume ya Mwakyembe (Dk. Harrison-aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Bunge iliyoundwa kuchunguza sakata hilo wakati ule, sasa Naibu Waziri wa Miundombinu) ililidanganya taifa, iwajibike na kama ni serikali basi imtaje mmiliki, ili yeye alipe pesa hizo na si wananchi," alisema Millya. Millya alisema wanayotaarifa kuwa sakata hilo lilianzia bungeni na hatimaye Tume (ya Mwakyembe) ilitoa ripoti kuwa Richmond ni kampuni hewa na wamiliki wake halali hawajulikani" (Source; Habari leo, 21,Jan 2011). wanashindwa kufahamu kuw ahii kamati ilikuwa ya bunga na si si mwakyembe kama wanavyotaka ifike kwetu. Mimi nadhani hii hoja ikifika bungeni kikwete antangoka madarakani. Mwakyembe atatumia hii fusra kusema na kutaja yake waliyosema wametunza ili kuinusuru serikali isianguke; ambayo obviously ni kuhusika kwa jk kwenye sakata hili la kifisadi.
Kama mtu ambaye nimemuunga mkono Dr. Slaa na kuamini kuwa ni mtu aliyepaswa na anayestahili kupewa nafasi ya kuliongoza taifa nimeshtushwa na kusikitisha na tamko la UVCCM hususan mashambulizi yao ya mtu - ad hominem thidi ya Dr. Slaa. Ninawasihi viongozi wa CCM Taifa kukemea na kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya kundi hilo la viongozi wa vijana.
Kutokuchukua hatua mara moja na kukaa kimya binafsi naamini iwakuwa ni halali kuamini kuwa uongozi wa taifa wa CCM umetoa baraka zake. Which brings me to my observation: it won't be pretty! Yatakapoanza kuporomoshwa matusi na mambo mengine dhidi ya viongozi wa CCM wa kitaifa isije kuoneekana "ni kuvunja heshima, kuchochea, matumizi mabaya ya vyombo vya habari" na upuuzi wa kawaida tuliouzoea.
Maana naamini walichofanya UVCCM kimewapa watu wengine haki ya kuwatukana na kuwasema viongozi wa taifa wa CCM katika masuala yao binafsi. That will be a tragedy.
Ukiniuliza mimi CCM (T) hawana zaidi ya masaa ishirini na nne ya kutoa kauli ya kinidhamu dhidi ya vijana wao.
ucjaribu kuzipotosha bongo za watanzania.... kikaango kipi ambacho bado hakijageuzwa. CDM imeshageuza kikaango chake pande zote na mara nyingi sana kiasi ambacho kikaango chenyewe kimepoteza ile rangi yake halisi.
kwetu sisi tunaotazama mambo bila kupofushwa na ushabiki maandazi, wala hatutilii maanani misemo na vitisho vyenu.
DR SLAA ni kansa ya taifa kama walivyo akina ROSTAM, LOWASA N.K.
TOFAUTI NI MOJA TU KWAMBA HATA CHAMA ALICHOTOKA SLAA NACHO NI KANSA YA TAIFA, ila CCM inaweza ikawachinja akina RA,na EL na chama kikabaki na sifa zile za tangu kipindi kileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Katika matamko yao kuna kitu ambacho watu hawakifahamu? mambo ya miaka mitatu, miwili iliyopita ndio wanatoa tamko leo? Akili zao ni nzito, kufikiri kitu kwa miaka mitatu? Kitu ambacho watu wengine waliisha kifikiri na kukifanyia kazi, tamko la richmond walitakiwa walitoe pale Lowasa alipojiuzuru. Eti hawa akina Beno Malisa ndio viongozi wa taifa hili baada ya akina JK, What a disaster!!UVCCM wako sahihi kabisa! Kwani hawaja msingizia jambo lolote Dr wa Phd ya ukweli nashangaa mapovu yanvyo watoka midomoni humu JF! Imewauma sana! Hongera UVCCM kwa Tamko lenu! Alta Continuaaa!
gi-mi e brek
labda wataandamana na mbwa.
hivi kuna Mtanzania nchi hii anaweza kuandamana kuunga mkono taasisi za CCM?
ucjaribu kuzipotosha bongo za watanzania.... kikaango kipi ambacho bado hakijageuzwa. CDM imeshageuza kikaango chake pande zote na mara nyingi sana kiasi ambacho kikaango chenyewe kimepoteza ile rangi yake halisi.
kwetu sisi tunaotazama mambo bila kupofushwa na ushabiki maandazi, wala hatutilii maanani misemo na vitisho vyenu.
DR SLAA ni kansa ya taifa kama walivyo akina ROSTAM, LOWASA N.K.
TOFAUTI NI MOJA TU KWAMBA HATA CHAMA ALICHOTOKA SLAA NACHO NI KANSA YA TAIFA, ila CCM inaweza ikawachinja akina RA,na EL na chama kikabaki na sifa zile za tangu kipindi kileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sio Bure hawa vijana wametumwa walikua wapi siku zote,ama kweli siku zote mbwa huanza kumfokea mmiliki wake, na ukiona mbwa juu ya mti ujue hajapanda mwenywewe kawekwa
Hao ndio vijana wa ccm ambao wameelimika tayari kushika hatamu za uongozi wa taifa,
Inatisha sana, Kama hawatakemewa basi mlango wa matusi kwa viongozi wa ccm utakuwa umefunguliwa.
UVCCM hawajakemea mafisadi bali wamekemea Mwakyembe na Sita kwa nini walisababisha mkataba kuvunjwa kwa ripoti ya uongo bungeni. Subiri utaona kitakachotokea.