Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,830
- 41,463
Tuliahidi, tumetekeleza, tunasonga mbele kwa madaha na mkikogo kama yote....Tunga ngonjera, andika mashairi, imba mapambio lakini haibadili hali halisi kwamba CCM tuliyonayo leo kimekuwa chama chakavu baada ya kuvamiwa na watu wenye tamaa ya vyeo na utajiri wa wizi. Ni chama kilichojaa watu wenye hila, majungu, majivuno, makatili, fitina, majungu, mafisadi walafi wasiotosheka na hakipo tena kwa mnufaa ya ustawi wa taifa na wananchi wake. Kwasasa chama kina viongozi walio wengi na watendaji wenye giriba, waongo, wavivu, wababaishaji, wanafiki, wasanii nk. Niambie bunge ni CCM watupu, kuna la maana la kujivunia?
CCM inajivunia kuwa na watu wa aina zote ikiwa ni pamoja wema sanaaaa, na wengine wenye tabia ulizoelea kwa umahiri mkubwa sana.
Kwasabu ndicho unachoweza kukifanya na kuipromote CCM kwa kila comment yako.......
Bunge lililopo linatawaliwa na CCM na bunge lijalo baada ya uchaguzi wa 2025 litatawaliwa na CCM, na vilevile bunge la Katiba lijalo kwa asilimia zaid ya 90 litatawaliwa na CCM na , kwenye kura za maoni Katiba mpya upande wa CCM ndio utakao shinda kwa kishindo....
Serikali ya CCM ndio itakayoanza kutumia Katiba mpya na ndio itakua inabadili madhaifu ya Katiba hiyo ikiwa inafaa.....
Kidumu chama Cha mapinduzi.