Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
CCM Arusha! Bado ipo?
CCM Arusha! Bado ipo?
Nyerere angekuwepo, angekuwa ni kamanda kitambo! Hawezi kuwa chama cha mafisadi!
CCM Arusha! Bado ipo?
Wee haujui unachozungumza hapa! mafisadi wanapumlia mashine hapo jijini!
Wakati ccm inapigwa kipigo cha mbwa mwizi huyo mama hakuwepo?wana arusha tumesha amua hatuitaki kabisa ccm
Mi natamani afufuke aone madudu ya ccm leo hii
Ukiona hivyo ujue chadema ndo wamezidiwa, siku zote tunajua arusha cdm ndo ina nguvu maneno haya leo ni ya nini?
CCM Arusha! Bado ipo?
Mangula anakusanya mafao yake, kuja tu Arusha ni allowance za kufa mtu. Satna sana anaweza kuiandalia kaburi ccm Arusha.j
Mary Chatanda anatembea na kale kamtaji kake na inampa kiburi kweli
Hali ya ccm arusha ni mbaya kuliko unavyoweza kuandika, chadema imewachanganya kabisa mpaka ijumaa makatibu wa kata zote walitishia kuandamana wakishinikiza Mary Chatanda aondolewe wakihoji tangu yeye aje chadema imekuwa na nguvu sana Arusha na ameshindwa kabisa kuibomoa chadema badala yake tangu 2012 ccm wilaya ya Arusha imewaondoa makatibu watatu wakitegemea watakao kuja watakuwa ba mbinu za kuimaliza chadema lakini ndiyo kwanza chama hicho ambacho ndiyo chenye nguvu jijini Arusha kinazidi kuimarika zaidi baada ya kuona hivyo kambi za ccm yaani team Lowasa na team Membe chini ya mary chatanda kwasasa wanashikana uchawi wasijue la kufanya kila mmoja akimtuhumu mwenzake kuwa yeye ndiyo anasababisha chadema kuwa na nguvu hapa jijini Arusha ndipo juzi makatibu wa kata wakachachamaa na kutishia kuandamana kwenda kufunga ofisi ya mary chatanda mpaka uongozi wajuu umwondoe, kuona hivyo na ukiangalia mgongoro husika ulivyo ilionekana na ukizinfatia sifa mbaya ya Kinana hapa Arusha hasa akituhumiwa kuiba mashine za kufulia nguo zilizokuwa zitumike kwenye hospitali ya mkoa wa Arusha Mt Meru, Mangula akaona si busara kumtuma kinana kuja kuokoa jahazi bali aje mwenyewe na tayari kashaingia Arusha kujaribu kuokoa jahazi, vinginevyo chama kitabaki magofu tu...
Teh teh! Hadi uchovu wa usingizi umeisha. Kambi ya jeshi Monduli kwa mamvi iko karibu na Aru city,wakachukue vifaru waelekeze jijini Aru. 4-0, Mwigulu akiwa kocha mchezaji.
Chezea Arusha kama azimio la Arusha, chadema ndio Arusha na Arusha ndio Chadema hakuna cha gamba wala hatutaki gamba ukiva kigamba gamba unajiobea aibu wewe mwenyewe hakuna longolongo Arusha ni vitendo tu
mbona chadema wana arusha wameichoka wanasubir uchaguzi mwakani waipige chini
Kenda kuzamisha jahazi, si kuokoa jahazi.Mangula hata aje uchi hawezi kuiokoa ccm, ccm inakufa na sioni wa kuiokoa...
arusha kuna mazuzu wengi