Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 130
- 118
Wanachama wa CCM wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu ambao walikuwa watia nia ya udiwani kutoka Kata mbalimbali wamelalamikia kukatwa majina yao na kupuuzwa kwa maagizo ya CCM Taifa juu ya kurejeshwa kwa majina yao.