Chagua Magufuli, binafsi nina imani anaenda fumua mfumo wa sisiemu wa sasa kwa sababu ya fundisho walilolipata sasa kuwa watu wanataka mabadiliko. Magufuli kama Magufuli ni mtu wa kumwamini, nikimuangalia machoni ni mtu anayemaanisha kitu anachokisema. Lowasa ameshaonesha kuwa hana msimamo.
CHAGUA JPM kwa ajili ya Tanzania mpya, Mwalimu JK alisema watanzania wasipopata mabadiliko ndani ya sisiemu basi watayatafuta hayo mabadiliko nje ya sisiemu, Maana yake uwezekano wa kupata hayo mabadiliko ndani ya sisiemu inawezekana, na ktk wagombea wote wa sisiemu waliopita, Mkapa alipigiwa debe na Nyerere, Kikwete alikuwa na nyota ya 'usupa star yaani kama rock star', watu walitokea tu kumpenda na pia slogan yake ya maisha bora kwa kila mtanzania iliamsha watu, ila kiukweli Kikwete alibebwa na 'usupa star', ILA HALI NI TOFAUTI KWA MAGUFULI, KAJIBEBA MWENYEWE NA HAMNA ALIYEMBEBA ASILIMIA KUBWA, WAKUBWA WENGI KAMA WARIOBA WANAOTUSHAWISHI TUMCHAGUE MAGUFULI NI KWA SABABU AMEONA NA TUMEONA UADILIFU WAKE NA UCHAPA KAZI WAKE, HII HAINA UBISHI PIA NI MCHA MUNGU, ANAMUOGOPA MUNGU HIVYO ASEMACHO ANAMAANISHA HATA KTK BODY LANGUAGE YAKE,
Ndugu yangu fanya maamuzi sahihi, chagua Magufuli.