uendelee kutupa iyo sinema kwa mfumo wa HD na picha angav:mimba:Umoja wa vijana wa manispaa ya Shinyanga ukiongozwa na katibu wake ulifika ofisi za Wilaya na kuanzisha vurungu kubwa na kuanza kumrushia matusi na ngumi katibu mwenezi wa CCM wilaya bw SHIGINO na suala hilo limefika polisi RB NO SHY/RB/8229/2014
ki vip?Mbona mada imepambwa sana hii
Mbona mada imepambwa sana hii
Kisa cha kupigana nini
hilo jeneza lako utazika lini hiyo maiti??mbona mada imepambwa sana hii