CCM Shinyanga Mjini wapigana na amzuia Mwenezi wa Wilaya kuingia Ofisini

ikizu

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
431
56
Umoja wa vijana wa manispaa ya Shinyanga ukiongozwa na katibu wake ulifika ofisi za Wilaya na kuanzisha vurungu kubwa na kuanza kumrushia matusi na ngumi katibu mwenezi wa CCM wilaya bw SHIGINO na suala hilo limefika polisi RB NO SHY/RB/8229/2014
 
huyu jamaa wa ccm ni msema ukweli katika maswala yahusuyo jamii sasa wanahisi amewasaliti kwa kuwasaidia chadema kuinyonga ccm
 
Umoja wa vijana wa manispaa ya Shinyanga ukiongozwa na katibu wake ulifika ofisi za Wilaya na kuanzisha vurungu kubwa na kuanza kumrushia matusi na ngumi katibu mwenezi wa CCM wilaya bw SHIGINO na suala hilo limefika polisi RB NO SHY/RB/8229/2014
uendelee kutupa iyo sinema kwa mfumo wa HD na picha angav:mimba:
 
Chadema anzisheni operation ya NANI MTAANI GAMBA itasaidia sana kuingiza wanachama wapya kwa kuwavua magamba na kuwavalisha magwanda watanzania.
 
Mkuu ungenogesha habari kwa kutupa majibu ya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo nyumbani shy town!! Najua hawajafanya kosa!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom