Mamndenyichama hapa nilipo nipaseme tena, kwani sipendi kucha na macho yangu jamani?
Hakuna anayetembea na sumu kwetu, kama yupo atakuwa ni yule mwenye matukano ndo anayeweza kufanya hivyo.
Kweli umesema acha tu dogo awe baridi kwani moto wake ni zaidi ya moto wa mkaa wa mawe, looh.
MamndenyiHivi wanasiasa hawanaga Mungu eti eeh,
[TD="class: xl67"]Ufunuo wa Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]1[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]7[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.[/TD]
Atakayemlaki Bwana Yesu mawinguni ndiye atakayekuwa ameshinda, atarithishwa haya na Bwana Yesu:
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]2
[/TD]
[TD="width: 48"]7b
[/TD]
[TD="width: 409"]Atampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]2
[/TD]
[TD="width: 48"]11b
[/TD]
[TD="width: 409"]Hatapatikana na madhara ya mauti ya pili (ziwa la moto)
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]2
[/TD]
[TD="width: 48"]17
[/TD]
[TD="width: 409"]Atampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, pia atampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye aliyelipokea.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]2
[/TD]
[TD="width: 48"]26,28
[/TD]
[TD="width: 409"]Atampa mamlaka juu ya mataifa na ile nyota ya asubuhi
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]3
[/TD]
[TD="width: 48"]5
[/TD]
[TD="width: 409"]Atamvika taji ya uzima wala jina lake halitafutwa kamwe katika kitabu cha uzima, naye atalikiri jina lake mbele za Baba yake (Mungu), na mbele ya malaika zake.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]3
[/TD]
[TD="width: 48"]12
[/TD]
[TD="width: 409"]Atamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wake, wala hatatoka humo tena kabisa, naye ataandika juu yake jina la Mungu wake, na jina la mji wa Mungu wake, huo Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wake, na jina lake mwenyewe, lile jipya.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]3
[/TD]
[TD="width: 48"]21
[/TD]
[TD="width: 409"]Atampa kuketi pamoja naye katika kiti chake cha enzi, kama yeye alivyoshinda akaketi pamoja na Baba yake katika kiti chake cha enzi.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mji mpya Yerusalemu
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]21
[/TD]
[TD="width: 48"]23 - 26
[/TD]
[TD="width: 409"]Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza, kwa maana utukufu wa Mungu huutia nuru, na taa yake ni Mwana-Kondoo. Na mataifa watatembea katika nuru yake. Na wafalme wa nchi huleta utukufu wao ndani yake. Na milango yake haitafungwa kamwe mchana; kwa maana humo hamna usiku. Nao wataleta utukufu na heshima ya mataifa ndani yake.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hawa hawataingia huo mji mpya Yerusalemu
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]21
[/TD]
[TD="width: 48"]27b
[/TD]
[TD="width: 409"]Chochote kilicho kinyonge, wala yeye afanyae machukizo na uongo.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Ufunuo wa Yohana
[/TD]
[TD="width: 42"]21
[/TD]
[TD="width: 48"]8
[/TD]
[TD="width: 409"]Waoga, wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 132"]Wagalatia
[/TD]
[TD="width: 42"]6
[/TD]
[TD="width: 48"]19 - 21
[/TD]
[TD="width: 409"]Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya: uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mamndenyi
Angalia sana huyu muhubiri anakuonyesha vitu anavyotaka uone Biblia nenda nayo mstari kwa mstari ndipo utakapopata ujumbe kamili mathalani hapo kwa Wagalatia kuna mengi sana yamesemwa lakini kwasababu mhubiri wako anaficha maovu yake ndio maana anakwepa baadhi ya mistari!
Mamndenyichama nakupa misitari yako ya kujidai nayo; kama unayo bibilia endelea kusoma kwa wakati wako:
[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Warumi[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]1[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Warumi[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]2[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Warumi[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]3[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl67, bgcolor: transparent"]Warumi[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]13[/TD]
[TD="class: xl65, bgcolor: transparent"]4[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mamndenyi
Tuanze na waraka wa mtume Paulo kwa Wagalatia kuna somo muhimu sana tuliwahi kulijadili mkalikimbia hebu tuanze na hili la uzinifu tuone mzinifu ni mtu wa aina gani mtume Paulo kaliongelea bila kificho wala usanii usipindishe maneno ya BIBLIA kwa kumfurahisha binadamu mwenzio; labda ukielewa kuna vitu na watu utaacha kuwatetea!
Mamndenyi[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Yohana[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]8[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]7[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mamndenyichama taja kifungu ili nikirejee
Mamndenyi
Nimekusoma matokeo ya Arusha mjini sio kielelezo cha maamuzi watakayoyatoa watanzania 2015! Andaa maumivu makali!!
bila shaka wewe ni gamba la kobe huna jipyaKwa hiyo umekaa ukatafakari ukaona hiki cha maana sana kwako.
kwa nini vijana wengi wa bavicha upeo wenu wa kufikili mdogo sana make unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenywe.
Mamndenyi
Nikianza mimi kutaja kifungu vitu viwili vitanyika !
1. utaukimbia mjadala kama kawaida yenu
2. MODS Bavicha wataifunga thread
kwa sababu sitaki hayo yafanyike wewe nifundishe mimi mtume Paulo warake wake kwa Wagalatia na wakorintho alisema nini wakati anakemea ZINAA na WATU wa jinsia kukutana kimwili; na nipe mafundisho ya ndoa ndani ya kanisa Katoliki.
Kuna vijana waliotimiza umri wa miaka 18 baada ya 2010 na sasa wana hamu ya kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ili kushiriki uchaguzi wa 2014 na ule wa 2015. TUSUBIRI...