ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:
chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),
chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),
chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),
chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,
chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,
chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,
chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.
hakika CCM haitapona.
naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.
Mamndenyi
Nyie wetu tu! tupate hasira na nyie? Hilo bado wala halitakuwa siasa tumejifunza siku nyingi ingekuwa busara kama mngejifunza kutoka kwa wakongwe! sisi tupo baridi kutekeleza ilani zetu
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:
chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),
chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),
chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),
chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,
chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,
chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,
chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.
hakika CCM haitapona.
naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.
hio namba moja inanifanya niweke ccm namba moja kati ya vitu navyo chukia kabisa...
Mamndenyichama
ilani nyingi hazitekelezeki, hivi hamjui kuwa watendaji wenu nao wanachangia sana kwenye kukiua chama hivi unajua pia kuwa tatizo lenu mmebebana mno, yaani kuanzia mjomba dada shangazi lazima wale mema kupitia mgongo wenu,
Hata hivyo siilaumu nchi yangu hapa iliponifikisha siyo pabaya.
Na wakati wa mapinduzi ukifika msishangae, si unajua ile ya kupokezana vijiti au haukukimbia zile mbio shule ya msingi, mwenzio nilikimbia.
Kwa hiyo umekaa ukatafakari ukaona hiki cha maana sana kwako.
kwa nini vijana wengi wa bavicha upeo wenu wa kufikili mdogo sana make unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenywe.
Mamndenyi
Hakuna kitu kibaya kwa mwanadamu kama kujitia upofu usiozaliwa nao; yapo mengi sana mazuri yanafanywa na serikali ya CCM yapo machache bado hatujayatekeleza; mambo mengi yanategemea uchumi wa dunia unavyokwenda kwa ujumla Tanzania hatupo pabaya; hivi unataka kusema chama kilichoshindwa kujenga ofisi hata ya vyumba vitatu mwaka wa 20 mnapanga vichochoroni viongozi wako wameishia kujijengea mahekalu kweli mtaweza kuijenga nchi? si ajabu tutasikia slaa amenunua kisiwa Pacific cha kujirusha yeye Josephine ila tu nakuhakikishia uraisi mtausikia kama kuna raisi atatokea Chadema sio hiki kituko mlichonacho karibu kwenye timu ya ushindi
cc Ritz
Nimefurahi kukuona Mamndenyi. Nime-miss sana mada zetu za kiroho, si unajua dunia hii tunapita na nyumbani kwetu ni mbinguni? (Wafilipi 3 : 20). Waache hao waendelee kusasambuana, sisi tunaendelea kujiandaa kumlaki Bwana Yesu atakapotokea mara ya pili mawinguni.copy: chama
Nimefurahi kukuona Mamndenyi. Nime-miss sana mada zetu za kiroho, si unajua dunia hii tunapita na nyumbani kwetu ni mbinguni? (Wafilipi 3 : 20). Waache hao waendelee kusasambuana, sisi tunaendelea kujiandaa kumlaki Bwana Yesu atakapotokea mara ya pili mawinguni.
MamndenyiNimefurahi kukuona Mamndenyi. Nime-miss sana mada zetu za kiroho, si unajua dunia hii tunapita na nyumbani kwetu ni mbinguni? (Wafilipi 3 : 20). Waache hao waendelee kusasambuana, sisi tunaendelea kujiandaa kumlaki Bwana Yesu atakapotokea mara ya pili mawinguni.
mimi nimekunywa maji ya bendera ya ccm.nitaifia hata mseme nini!
Mamndenyichama usiseme 'sisi' unajuaje kuwa na mimi siyo mwenzio?
Hii ya kutembea na sumu sitaki kukujibu kwa kuwa jibu unalo mwenyewe.
Mwambie Ritz aangalie baridi ikizidi ataganda.
chama ninakoishi mimi ni kule ambako shule zimekosa wanafunzi wa kidato cha tano na hivyo madarasa kubaki matupu, naona itabidi tufugie huko kuku.
Pia hapa ninapoishi maji bado ni bidhaa adimu.
Pia ninapoishi ni pale ambapo ukienda kujifungua ni lazima uende na gloves, maji ya moto kwenye ndoo na kirago cha kulalia.
Mamndenyi
haaaa haaa basi hapo ulipo pametulia hivyo ulivyopendeza bado unadai umekosa huduma muhimu? Nipe jjina nitafute wadhamini wa kujimba visima na kusaidia glovu za hospitali; inabidi uishukuru sana CCM inakupendesha sana! Ritz mwache awe baridi moto wake hamuuwezi; yule kamanda wenu anayetembea na sumu mifukoni mwambie ajihadhiri asije kuinywa mwenyewe!