Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:
chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),
chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),
chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),
chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,
chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,
chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,
chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.
hakika CCM haitapona.
naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.
Kwa hiyo umekaa ukatafakari ukaona hiki cha maana sana kwako.
kwa nini vijana wengi wa bavicha upeo wenu wa kufikili mdogo sana make unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenywe.
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:
chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),
chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),
chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),
chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,
chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,
chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,
chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.
hakika CCM haitapona.
naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.
Mamndenyichama nimependa kwa kuwa unaelewa,
2015 bila shaka tutakuwa tu wote
si unajua ile ya bendera kufuata upepo.
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:
chuki walizopandikiza kwa madaktari (dr. uli),
chuki walizopandikiza kwa waandishi wa habari (daudi mwangosi na kibanda),
chuki walizopandikiza kwa waalimu (kumbuka matokeo ya form four),
chuki walizopandikiza kwa milipuko ya mabomu,
chuki walizopandikiza kwa waTZ kwa kukaa miaka 50 madarakani bila kufanya cha maana,
chuki walizopandikiza kwa wanyama wa mbugani kwa kushindwa kuyawajibisha maharamia wanaoiba meno ya tembo,
chuki walizopandikiza kwa vijana kwa kushindwa kuzalisha ajira na matokeo yake vijana wanaishia kujiingiza mkenge wa kula na kusafirisha unga na kushinda vijiweni.
hakika CCM haitapona.
naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.
Mamndenyi
Nashindwa hata kukupa hongera sioni ulichoshinda Arusha; siku ukichukua udiwani Chimwaga hapo nitasema umeshinda kwa kishindo; Arusha mjini sio ndio ngome yetu? au mna pengine mnapotegemea?
ccm inavuna ilichokipanda na itaendelea kuvuna maana walichotufanyia waTZ hakisahauliki:
naenda zangu Lumumba kuchukua buku 7 kwa Nape.
Mamndenyichama kwanini kubaniana jamani
Lakini kwa kuwa tupo kwenye ngalawa moja
na lengo ni kufika salama usijali.
Hakuna maana yoyote ya kutiana hasira
twende mdogo mdogo tu mwisho tutafika salama wote kwa pamoja.
.....kaka polepole utaivunja hiyo Lap Top....