CCM sasa basi imetosha, ondokeni hatutaki longolongo

CCM sasa basi imetosha, ondokeni hatutaki longolongo

Ok sawa ! Ccm iondoke tukipe chama gani kiongoze nchi hii ? Mnafikili mnamka tu na kushinda uchaguzi!, Kwa mikakati ipi?, yaani nch ya watu mli 60 iipe saccoss iongoze nchi! Em kuweni serious nyie nyumbu!.

Hata akija Rungwe mara 10 anafaa kuliko tulivoichoka CCM sasa hivi
 
NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.

Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa

Ndiyo maana tunataka hiyo CCM iondoke vizuri tu madarakani bila kutuletea vurugu maana utasikia angalia nchi zisizokuwa na amani wanavohangaika. Sasa nani ataleta vurugu kama siyo yule mwenye vyombo vya ulinzi hao wapinzani wana silaha gani za kuleta fujo. Mbona mkoloni alikuwa na majenshi aliomdoka bila vita inashindikana nini kwa CCM kuondolewa bila ya vita.
 
Fact! Watambue kushinda uchaguzi inahitaji strategy ya mda mrefu! Sio kuota kuwa utashinda uchaguzi ! Never.!

Mikakati wameionyesha sana kufafanua wananchi kuamuwa kuhusu matumizi ya rasilimali zao kuondokana na utitiri wa kodi zinazodumaza kabisa sekta bianfsi kutokuweza kukua, kuruhusu wakulima kuuza mazao yao sehemu yenye Soko zuri bila kupangiwa. Kuchagua viongozi wa kuwaongoza katika maneo yao badala ya kuletewa mapandikizi ambayo hayawajibjki kwa wananchi na mengine mengi sasa mnataka mikakati gani zaidi ya hiyo.

Mnakariri tu kila siku watu tumechoka na hizo sera zinazojirudia tu kila mwaka haziwezikutondoa kwenye huu umasikini nchi tajiri kama tanzania inakuwa masikini wa kutupwa ati nchi ya 8 kwa umasikini duniani si ni aibu kubwa hiyo.
 
Sera ya Bima ya Afya

Sera ya kubadili mfumo wa Elimu

Sera ya kukuza uchumi kwa kipaumbele cha Sekta Binafsi

Sera ya Kuleta mswada wa Haki ya Mlipa kodi

Sera ya kuboresha mazingira ya uwekezaji na wafanyabiashara Tanzania

Sera ya kutoingilia biashara ya mazao kwa wakulima

Sera ya Katiba Mpya

Sera ya Mfumo mpya wa utawala wa Majimbo

Ndugu, hakuna kama Chadema, hata wewe nakushauri chagua Chadema mwaka huu!
Mkuu, hizo nimezielewa vema, ijapokuwa hazifafanuliwi vizuri zikaeleweka Kwa wananchi, mfano Ile Sera ya majimbo, haijaeleweka mpaka sasa ingawa ni Nzuri Sana

Sera ya wamachinga na vitambulisho, hii itamchomoa Mbeligiji Ikulu, asicheze Nayo kabisa!

Sera nyingine mnayoifanya iwavute wananchi ambapo hamuwezi kuitekeleza, ni Ile ya kukataa ujenzi vituo vya afya, barabar, uanzishwaji wa uzalishaji mpya wa umeme, ujenzi mashule, n.k..... Wakati huo huo kuna nchi huko duniani technology ya miundombinu ndio iliyoharakisha zaidi maendeleo yake
 
Aje Chama gani na mtu wa hicho Chama ni Nani?

Maana waliopo wameanzisha Sera ngumu na imewashinda hata wao kuitafsiri ili ilete uhalisia

Sera ya kukataa maendeleo ya vitu na badala yake iwe ni maendeleo ya watu?

Hii Sera yenu hii inawaharibia Sana maana hamuifafanui vema na haieleweki

Kwamba hamtaki barabara ila mnataka magari wananchi wawe Nayo!

Hamtaki ndege, Ila Dubai wananchi waende kufuata biashara!

Hamtaki njia iwepo treni, Ila mnataka mizigo iende zambia, Lwanda, Kongo, burundi, n.k !

Hamtaki kujengwe hospital Ila wananchi mnataka waende Hospital kutibiwa siyo?

Hamtaki ujenzi wa shule, Ila mnataka watoto waende shule kusoma? Daah, sasa sjui waende shule kufanya nini sasa

Nyie ni wa kupuuzwa Sana nyinyi na nahisi sasa mmechoka kutumia akili zenu
Umemaliza kuandika? Haya, nenda kalale. Upuuzi wako utakujia ndotoni.
 
Watu wengi wanapenda tu Kuandika 'mabaya' tu kuihusu CCM na Kuonyesha 'Chuki' zao, ila hawatupi 'Mikakati' madhubuti ya Vyama vyao Pinzani.
Kiu yangu CCM impumzike.Heshimuni sanduku la kura,kubalini matokeo.Wizi wa kura haukubaliki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom