Msitafute kuondolewa kwa nguvu mnatakiwa muwaelewe wananchi ya kwamba wanataka mageuzi ya kuongozwa,hawataki tena kutawaliwa na CCM wanataka kuongozwa na Vyama vingine.
Msiwalazimishe wananchi kuwapigia kura kwa nguvu ,kubalini kistaarabu ,wananchi wataona yupi mkweli na anaefaa chaguzi ni kila baada ya miaka mitano mmeshakaa miaka zaidi ya 53,wacheni uchaguzi uchukue mkondo wake,nimemsikia Magufuli akijitenga na mbinu za dhulma za tume ya uchaguzi ,kwa kusema wananchi amkeni asubuhi mkanipige kura,msitegemee atashinda tu.
Anamaanisha mbinu za tume ya uchaguzi zikifeli ndio mwisho wa utawala wake kwa miaka mitano sio kidogo,wengine hata mmoja haufiki.