Ng'azagala JF-Expert Member Joined Jun 7, 2008 Posts 1,288 Reaction score 222 Jul 27, 2010 #21 ratiba za vyama vingine ziko wapi tulinganishe? :smile:
911 Platinum Member Joined Aug 22, 2008 Posts 857 Reaction score 506 Jul 28, 2010 #22 Wana msemo wao kuwa "kijani majani,CCM ina wenyewe".
Sir R JF-Expert Member Joined Oct 23, 2009 Posts 2,175 Reaction score 300 Jul 28, 2010 #23 Si shangai sana haya maana CCM ni chama kilichopotea muda mrefu, chakushangaza ni wengi kutarajia mazuri toka CCM; Naona wanaccm karibu wote wana matatizo ya akili. Haiwezekani watu wenye akili timamu wakubali utaratibu huo mbovu. Ndio maana sishangai ccm wanapofanya mipango mikubwa ya kuuza raslimali zetu kwa bei che. Nachukia sana
Si shangai sana haya maana CCM ni chama kilichopotea muda mrefu, chakushangaza ni wengi kutarajia mazuri toka CCM; Naona wanaccm karibu wote wana matatizo ya akili. Haiwezekani watu wenye akili timamu wakubali utaratibu huo mbovu. Ndio maana sishangai ccm wanapofanya mipango mikubwa ya kuuza raslimali zetu kwa bei che. Nachukia sana
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,313 Jul 28, 2010 #24 Asa iwapi Demokrasia ndani ya Chama!