undugukazi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 315
- 82
1
nalipenda hili chama, sidhani kama kuna chama zaidi ya hili kwa miaka ya karibuni...wapinzani jipangeni sana...ila kiukweli ccm inatisha mzee....kila kona ipo vizuri..ofcoz mambulula wapo ila wachache, ila ina vichwa zaidi ya chama chochote kile tanzania...ntarudi tena kama mnabisha
njaa za wapinzani zitaua nchi kwa uchonganishi....
Liberal Thoughts!Nalipenda hili chama, sidhani kama kuna chama zaidi ya hili kwa miaka ya karibuni...wapinzani jipangeni sana...ila kiukweli CCM inatisha mzee....kila kona ipo vizuri..ofcoz mambulula wapo ila wachache, ila ina vichwa zaidi ya chama chochote kile Tanzania...ntarudi tena kama mnabisha
NJAA ZA WAPINZANI ZITAUA NCHI KWA UCHONGANISHI....