CCM, Operation TUJISAHIHISHE irudiwe tena!

CCM, Operation TUJISAHIHISHE irudiwe tena!

Lakini chama chako CCM kimebariki wizi huo, serikali imeundwa kutokana na wabunge waliotokana na wizi wa kura, na bunge la CCM linaendelea kutunga sheria na kuishauri serikali. Huwezi kusema madudu hayo hayatokani na chama chako.

Ukiamua kujisahihisha, kubali mapungufu yote yaliyosababishwa na CCM, vinginevyo acha maisha yaendelee.
Ni kweli kabisa.
Hatua ya kwanza kwa CCM ni kukiri makosa ya kisiasa na kutowasikiliza wanachama wake.
CCM ikawa kwenye auto pilot.
Namnukuu Maso hapo nyuma ati Katibu Mkuu Bashiru anakuwa na ujasiri wa kusema atafanya madudu yoyote alimradi abaki madarakani.

Makosa hayo yalikipaka matope chama kwa sana tu.
 
..Ccm haina culture ya kujadiliana hoja kwa hoja mpaka hoja iliyobora ishinde.

..mara nyingi hoja na mitizamo ya mwenyekiti ndiyo hupitishwa harakaharaka.

..wanaoonekana kutofautiana na mwenyekiti huitwa majina mabaya na kumalizwa kisiasa.

..utamaduni huo umekuwepo tangu enzi za Mwalimu Nyerere ambapo wengi waliotofautiana naye waliitwa majina mabaya kama wasaliti, vibaraka, etc etc.

..kwa mfano, wakati hali yetu ya uchumi ni mbaya miaka ya 1980 kuna baadhi ya viongozi walianza kudai marekebisho ya sera zetu za uchumi. viongozi hao walipewa majina mabaya na wenzao ikiwemo kuitwa wasaliti na baadhi yao walianguka ktk chaguzi mbalimbali za Ccm.

..Udini, ukabila, ukanda, uzushi, ukatili, ni baadhi ya mbinu zinazotumiwa ndani ya Ccm kuwakabili wale wanaotofautiana na mwenyekiti, au walioko nje lakini wanakitishia chama chao.
Ni vyema basi hata ndani ya CCM kuwepo na checks and balances.
Maana tunaweza kuwa na Mwenyekiti dictator.
 
CCM ndo kunguni wa aina gani? Hamna chama hapo kuna genge la wahuni wa Koo tatu,ambao wamedhamiria kulamba asali ya nchi hii kwa kusaisiwa na polisi,tume ya kipumbavu na wizi, tofaut na hapo ni machoko kama machoko wengine tu!
 
CCM ndo kunguni wa aina gani? Hamna chama hapo kuna genge la wahuni wa Koo tatu,ambao wamedhamiria kulamba asali ya nchi hii kwa kusaisiwa na polisi,tume ya kipumbavu na wizi, tofaut na hapo ni machoko kama machoko wengine tu!
Du...kwa avatar yako hatuna la kukuuliza zaidi.
 
Back
Top Bottom