Hamuna Hoja.... Mkumbusheni huyo Polepole na nyinyi Bendera Fwata UpepoSasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
Safari hii labda atoe kafara ya mzee Hafidhieli na kipenzi chake Abdulrahaman maana damu za kina mzee Kibaoni zimegoma!Bi Mdashi saa hizi yupo busy na Waganga wa Oman ni mwendo wa kutoa kafara tu😀😀😀😀😀
Msoga ana historia ndefu itakayosimuliwa na vizazi vijavyo, lakini ikiinamia upande wa ubaya.Zandani zinasema sa100 amesusa na hataki tena, makombora yamemuelemea msoga anakula kupitia mgongo wake. sasa anaona bora akalee tu wajukuu awaachie kiti chao
Hapa ni tamaa ya madarakaWacha waumane meno kwanza. No Reforms No Elecrion imewaamsha na wao.
Anakosea sana hamuachi samia kupumua kila sehemu yupo haoni hata aibu. Mama wawatu hadi juzi kavumilia hadi kashindwa kaona aropoke tu ''NIPO NA BOSI WANGU''.Msoga ana historia ndefu itakayosimuliwa na vizazi vijavyo, lakini ikiinamia upande wa ubaya.
Kwakweli Lissu ni Hatari NRNE....ni noma sanaLissu ni mtu hatari sana.
Nani huyo kagusanisha tena huko??Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
We umewahi sikia wenye akili walio ndani ya CCM wanamjibu Gwajima au Polepole?Nilidhani ndani ya wajumbe wote akili zilezile kumbe wenye maono na taifa hili bado wapo. Wanaelekea kulikomboa taifa sasa hv na hii ndo tafsiri halisi ya mapinduzi
MENEMENE TEKERI NA PERESI ni mimiSasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
Sasa nataka kujua wale wa Oktoba tunatiki, semeni mtatiki wapi?
No reforms no Election yatinda Meza kuu za CCM.
Kiko wap? 🤣🤣🤣🤣
Haya Muliro jiandae kuwagonga Virungu vya Ugoko na CCM wanaotaka Reforms 🤣🤣🤣
mene, mene, tekeli, na peresi.
View attachment 3410888
Walitoa fomu ngapi,alishindanishwa na nani
Ilaccm wanaongozaChadema ni wajinga saana