CCM ni kama vipofu wanaoongozana!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,924
Reaction score
50,997
Ushaghalabaghala wa mambo ndani ya CCM , ni kama tafrani inayotokea pale kipofu anapokuwa akimuongoza kipofu mwenzie kuipita njia Mpya.

Na ndiyo maana watu wengi ndani ya CCM wanaishi kwa staili ile ya "ukila na kipofu usimshike mkono".

CCM wanauishi ule msemo wa kiafrika kuwa uruhusiwi kuongea wakati wa kula. WAJINGA NDIYO WALIWAO!!
 
Bila Mungu kumpenda zaidi Samia taifa halitaondoka kwenye hii sintofahamu. Maana anaweza kutuachia mkwewe ndo awe Rais ajaye 2030
 
Noma
 
Tulia wewe
Tafuta chimbo ulambe asali
Acha wivu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣yamechanganyikiwa kutokana na barua ya polepole.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…