Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,978
- 285,476
Huyo mtu tupo hai?!
endelea kutega sikio , haiwezekani mtu afe hata tusione picha ya jeneza .
Huyo mtu tupo hai?!
una maana gani mkuu ? hali hii unadhani ni sawa ?Yote hayo inaonyesha a very strong and powerful party with a vision
Mods futeni hii haraka ,,mtoa mada ametoroka Mirembe Hospital
Kuna jamaa kwenye hiyo picha juu ana six packs na matatizo yote halafu mi ninayenyanyua vyuma sina hata moja
Huyo mtu tupo hai?!
Thread nzima unacomment peke yako,,Wewe kweli mwehu,,Rudi Mirembe kabla hujaanza kuokot. a makopo jalalani[/QUOTE kkkk]
Huyo mtu tupo hai?!
una maana gani mkuu ? hali hii unadhani ni sawa ?
endelea kutega sikio , haiwezekani mtu afe hata tusione picha ya jeneza .
Mods futeni hii haraka ,,mtoa mada ametoroka Mirembe Hospital
Nitajie yoyote aliye msafi ndani ya ccm. Nitashawishika kukipigia kura.
Mods futeni hii haraka ,,mtoa mada ametoroka Mirembe Hospital
1. Mpaka sasa TBC1 haitazamwi na watazamaji wengi sababu imekuwa kama ni television ya CCM
2. Mavazi yenye rangi yenye rangi ya njano na kijani hayana mvuto tena wala hayavaliwi kama zamani maana ukivaa unaonekana kama kibaka
3. Shule zote zile zamani zilijulikana kama za wazazi (ccm) hazifaulishi na haziwezi kushindana na shule huru sababu ya wizi
4. Viwanja vya michezo ambavyo kimsingi ni vya wananchi ( vilijengwa kwa nguvu za wananchi) ccm imejimilikisha na hivyo michezo yote imedorora.
5. Vyeo ambavyo watu waliheshimika sana zamani kama RC, DC, Uwaziri siku hizi ukijitangaza hivyo unaoneka mwzi tu.
Kifupi ccm ni janga
*FISADI PAPA LEO ANATAKA ACHUKUE NCHI ILI AENDELEE KUTUIBIA.
Haaa haaa haaa! Kilimo cha jembe la mkono nomaa.
usafi kivipi?
Ni nani msafi nnje ya CCM mkuu?
Usafi huo unaouzungumzia ndio kigezo pekee kikubwa kwako kwa uraisi?
usifanye mchezo na jembe la mkono mkuu .Kuna jamaa kwenye hiyo picha juu ana six packs na matatizo yote halafu mi ninayenyanyua vyuma sina hata moja
Dear laki si pesa jibu pangua wizi huu
1. Lowassa - Richmond, Viwanja Ngarenaro Arusha, Shamba la NAFCO Handeni, PPF Tower, Kubomolewa kwa ghorofa Ostabay, Mvua ya mabomu, Kufukuza watumishi (Engineer ) Monduli haina maji mpaka leo watu wanakunywa na ng'ombe, City water mkataba hewa, Uwekezaji UVCCM karibu na fire, Fitina kwa aliyekuwa mkuu wa TMA Monduli (Major Gen. Sayore) n.k
2. Magufuri - Nyumba za watumishi, Ujenzi wa barabara zisizokuwa na viwango kwa gharama ya 1.5 bil for KM, Udanganyifu kwa miradi hewa, Ubinafsi n.k
3. Ufisadi katiba mpya pesa ya UKAWA nani alilipwa, Ofisi ya spika Urambo, Kujimilikisha nyumba ya spika, Kutuharibia katiba pendekezwa nk
4. Mwandosya some how lakini wanaojua watamwanika
5. Membe riport za matumizi ya pesa ubalozini, ajieleze kwanini alifukuzwa ushushu.
7. Wasira - Rushwa na haaminiki alidanganya bunge kuhusu mkataba wa Tanganyika na Zanzibar, Hayuko smart kuvaa nguo hovyo.
8. January - Alifeli shule so atoe maelezo vyeti alivipataje
Mwigulu - Mauaji ya mikutano ya CDM Arusha, Morogoro na Iringa
9. Wengine malizia
6.
Nilipoona thread nkajua bonge la mtu.Tunamuhitaji Lowassa hapa Tunduma. Tumeandaaa watu 4000 wa kumdhamini.
Yatawakoa mapingamizi lakini uwezekano wa kuvurugika amani itakuwa kubwa kama wizi wa kura utatokea.
Nitajie yoyote aliye msafi ndani ya ccm. Nitashawishika kukipigia kura.