Mwasita Moja
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,903
- 2,580
Jipya kutoka chadema ni kupokea makapi ya ccm.Wenye kujitoa ufahamu waliotegemea jipya kwenye utawala wa CCM nawaonea huruma sana mimi sijawahi kutegemea jipya chini ya utawala wa CCM. Kama ni namba nadhani upande wa pili wanaisoma zaidi
Chadema ni dust bin ya ccm.
Subilini tena 2020 ccm wakikata makapi mtapokea