CCM ni chama cha binadamu

CCM ni chama cha binadamu

Mwalim nyerere anasikika ktk 1 ya hotuba zake akisema vyama vya upinzani ni vibovu vibovu

Vkisukumwa na upepo kdogo tu viongoz wao hukosa hekima

Mmeona ishu ya zzk na lema

So bora tusonge na CCM
Yetu mana huu ndio ukweli

Ukikataa unajichelewesha tu

Haha jk akipanda ndege kuvuka mpaka wa tz kikaz kinawauma

Ila akipanda kuanza ziara ya kikaz siku 4 geita
Hasafir sana
Kazi mnayo
 
Siku wezi wakibaguana huwa ndio mwisho wao
 
abubakari asenga miongoni mwa vilaza wa grade ya juu kabisa
 
Mwalim nyerere anasikika ktk 1 ya hotuba zake akisema vyama vya upinzani ni vibovu vibovu

Vkisukumwa na upepo kdogo tu viongoz wao hukosa hekima

Mmeona ishu ya zzk na lema

So bora tusonge na CCM
Yetu mana huu ndio ukweli

Ukikataa unajichelewesha tu

Haha jk akipanda ndege kuvuka mpaka wa tz kikaz kinawauma

Ila akipanda kuanza ziara ya kikaz siku 4 geita
Hasafir sana
Kazi mnayo

Yaani kama wewe ASENGA WA PAKAYA ni graduate basi ni bure kabisa, unaandika kama unaandika FB au Instagram! No connection of points, yaani vululu vululu.
 
Last edited by a moderator:
Ukabila je?viongozi wa juu takribani wote waislamu unalisemeaje hilo.?
 
Mwalim nyerere anasikika ktk 1 ya hotuba zake akisema vyama vya upinzani ni vibovu vibovu

Vkisukumwa na upepo kdogo tu viongoz wao hukosa hekima

Mmeona ishu ya zzk na lema

So bora tusonge na CCM
Yetu mana huu ndio ukweli

Ukikataa unajichelewesha tu

Haha jk akipanda ndege kuvuka mpaka wa tz kikaz kinawauma

Ila akipanda kuanza ziara ya kikaz siku 4 geita
Hasafir sana
Kazi mnayo

utakufa na li ccm lako.unamdangny nani wakati mlisema kbsa
1.raisi anamjua tayari raisi ajaye
2.raisi hawez ktoka kaskazini
3.Nape amesikika akisema "siwezi kuwa CHADEMA kwan mimi sio mchaga".alimaanisha CCM Ni ya makabila mengne tofauti na wachaga.huo sio ubaguzi?unavosema haya ina maana umeshasahau?
 
Marachache sana kukuta wazungu kwenye mikutano ya ccm
kinana hajawahi kumpita masiki ktk ziara yake bila kumsikiliza na kumpa alichonacho ata kama ni ushauri wa kawaida

wapi slaa aliwahi kula kwa mamanitilie? Au na masikini?

unamaanisha yule jangili?mnafiki t yule
 
Hebu niongezee yale ambayo hujayasema kuhusu ccm unayoipenda:
  • ccm ni chama cha mafisadi
  • ccm ni chama cha wala rushwa
  • ccm ni chama kilichojaa wataalam wa biashara ya madawa ya kulevya
  • ccm ni chama cha watoto haramu(wengi wamezaliwa kwenye mbio za mwenge)
  • ccm ni chama kilichojaa wataalamu wenye kutorosha wanyama wetu nje
  • ccm ni chama cha majangili nk

Naomba wengine wanaojua sifa za ziada za ccm waandike hapa chini.
 
Nikweli kabisa mkuu, Tatizo la ccm ni Ujangili na uuzaji wa Sembe
na ile desturi yetu ya Ufisadi
 
Hebu niongezee yale ambayo hujayasema kuhusu ccm unayoipenda:
  • ccm ni chama cha mafisadi
  • ccm ni chama cha wala rushwa
  • ccm ni chama kilichojaa wataalam wa biashara ya madawa ya kulevya
  • ccm ni chama cha watoto haramu(wengi wamezaliwa kwenye mbio za mwenge)
  • ccm ni chama kilichojaa wataalamu wenye kutorosha wanyama wetu nje
  • ccm ni chama cha majangili nk

Naomba wengine wanaojua sifa za ziada za ccm waandike hapa chini.

Mbona una kopy na kupest baadhi ya nakala ya katiba ya chama changu kipendwa cha ccm?
Nitake radhi lasivyo nitaenda mahakamani
 
Mbona una kopy na kupest baadhi ya nakala ya katiba ya chama changu kipendwa cha ccm?
Nitake radhi lasivyo nitaenda mahakamani

Ni kweli mkuu wa kaya,nimecopy na kupaste mambo haya yanayopatikana kwenye katiba ya ccm,pamoja na hayo sikuombi radhi tangulia mahakamani tukakutane huko huko. Ndiko nitaisifu ccm kwa jinsi inavyolinda katiba yake kwa ufanisi kufuatana na hayo niliyoyacopy kwenye katiba yao na kuyapaste JF.
 
Mafisadi hayanaga aibu, ukiwaangalia mafisadi wa CCM katika picha walivyovimbiana kwa kula rushwa akiwemo fisadi Mtoto Nape, halafu uwangalie makabwela wanajifanya wanawajali walivyovaa midabwada, halafu huu mtambo ulioleta uzi huu unathibitisha kuwa ni maskini, lazima ujue kuwa mtambo huu unathibtisha kitu kimoja, CCM imewatia umaskini watu wake. Je hiyo ni sifa ya kuja nayo humu jamvini? Kwa kutuletea umaskini mnataka tuwasifie kwa kuwa mnatutembelea na kutukoga na matumbo yenu yaliyoshiba kwa wizi?
 
Mbwembwe nyingi hadi unatoka kwenye key! CCM ni chama cha Mapinduzi,hicho chama cha binadamu (CCB) labda ni tawi la CCM na sijui sera zake zikoje,na nina shaka km kimesajiliwa kuendesha shughuli za kisiasa!
 
Back
Top Bottom