nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
kwani kuna ajabu kula kwa mama ntilie, wakati mwingine mnajishusha heshima kwa kusema ujinga!
Kiongozi umeandika nini hapa aisee? CCM chama cha binadamu alafu vyama vingine ni vya ng'ombe? Au unasema hujawahi kuona wazungu kwenye mikutano ya Kinana, sasa wazungu si wako huko makwao jamani, wafanyenini kwenye mikutano ya ccm, kwani huwa mkiwataka si mnawafuata huko makwao, mara ngapi mnakuwa na safari za ulaya kama CCM?
> Wewe Mshikachuma! Panyabuku unawajua. Wangekuwa panyabuku wangekusomesha. Tena inaonekana wewe ulisoma kipindi kile cha kusoma bure!CCM ni chama cha MapanyaBuku yaliyokubuhu.
Marachache sana kukuta wazungu kwenye mikutano ya ccm
kinana hajawahi kumpita masiki ktk ziara yake bila kumsikiliza na kumpa alichonacho ata kama ni ushauri wa kawaida
wapi slaa aliwahi kula kwa mamanitilie? Au na masikini?