CCM ni chama cha binadamu

CCM ni chama cha binadamu

Asenga wa Pakaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
260
Reaction score
61
Marachache sana kukuta wazungu kwenye mikutano ya ccm
kinana hajawahi kumpita masiki ktk ziara yake bila kumsikiliza na kumpa alichonacho ata kama ni ushauri wa kawaida

wapi slaa aliwahi kula kwa mamanitilie? Au na masikini?
 
Attachments

  • NAPE1.jpg
    NAPE1.jpg
    48.4 KB · Views: 197
  • NAPE3.jpg
    NAPE3.jpg
    47.3 KB · Views: 200
  • NAPE4.jpg
    NAPE4.jpg
    32.9 KB · Views: 195
  • NAPE2.jpg
    NAPE2.jpg
    44.8 KB · Views: 173
Kama ni kweli iweje sasa isiwajali hao wananchi mpaka wakati wa kampeni? Kumbuka hii propaganda ni toka 1961 mpaka sasa na bado hakuna cha maana walichokifanya zaidi ya udanganyifu kwa wananchi hao hao. Ukiangalia picha vizuri ndipo utapata jibu sahihi, nani ni shabiki wa CCM.
 
Kiongozi umeandika nini hapa aisee? CCM chama cha binadamu alafu vyama vingine ni vya ng'ombe? Au unasema hujawahi kuona wazungu kwenye mikutano ya Kinana, sasa wazungu si wako huko makwao jamani, wafanyenini kwenye mikutano ya ccm, kwani huwa mkiwataka si mnawafuata huko makwao, mara ngapi mnakuwa na safari za ulaya kama CCM?
 
Marachache sana kukuta wazungu kwenye mikutano ya ccm
kinana hajawahi kumpita masiki ktk ziara yake bila kumsikiliza na kumpa alichonacho ata kama ni ushauri wa kawaida

wapi slaa aliwahi kula kwa mamanitilie? Au na masikini?

heading inasema ccm chama cha binadamu. Ina maana wazungu sio binadamu au? binadamu ndio akina nani, mama ntilie? hahaaa...
 
Usiwasemee maskini kwa kuwa wewe sio mmoja wao. Wenyewe wanajua kuwa kati ya CCM na CHADEMA ni chama gani kilichoshiriki kuwatia katika umaskini wa kiwango hicho kwa miaka hii iliyopita na ni chama kipi kinachowapa matumaini ya kweli kuwaondolea zigo la umasikini huo katika miaka ijayo. Fisadi kula na masikini ni kumkebehi!
 
ccm siyo chama chama cha binadamu. Binadamu hatuna MAGAMBA.
 
Marachache sana kukuta wazungu kwenye mikutano ya ccm
kinana hajawahi kumpita masiki ktk ziara yake bila kumsikiliza na kumpa alichonacho ata kama ni ushauri wa kawaida

wapi slaa aliwahi kula kwa mamanitilie? Au na masikini?

hongera kwa kumaliza mitihani ya taifa jana!
 
Back
Top Bottom