Elections 2010 Ccm ni anasa,anasa tu na kampeni zao!!!!!!!!!!!!!

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
  • UKITAKA KUJUA KUWA CCM NA SERIKALI YAKE NI WAZEE WA ANASA NENDA KWENYE MIKUTANO YAO YA KAMPENI NA UTAKUTANA NA YAFUATAYO:
  • MSAFARA WA GARI ZA KIFAHARI,VX,V8
  • WASANII WA KUKODIWA ILI WAVUTE WATU MKUTANONI
  • MALORI YA KUSOMBELEA WATU ILI WAJAZE UWANJA
  • UGAWAJI WA T SHIRTS,KANGA,KOFIA BURE
  • licha ya anasa zote hizo watakwambia elimu na afya kutolewa bure haiwezekani na bado kuna vijitu vinaunga mkono
 
Wakishakuwa chama cha upinzani watajifunza tena hali halisi. Kwa sasa wamekosa kabisa mwelekeo. Na Watanzania tumewachoka ile mbaya. Waondoke tu kwa amani.
 
Ukishakuwa na akili mgando au your brain being on vacation elimu na afya bure haviwezekani
 
  • UKITAKA KUJUA KUWA CCM NA SERIKALI YAKE NI WAZEE WA ANASA NENDA KWENYE MIKUTANO YAO YA KAMPENI NA UTAKUTANA NA YAFUATAYO:
  • MSAFARA WA GARI ZA KIFAHARI,VX,V8
  • WASANII WA KUKODIWA ILI WAVUTE WATU MKUTANONI
  • MALORI YA KUSOMBELEA WATU ILI WAJAZE UWANJA
  • UGAWAJI WA T SHIRTS,KANGA,KOFIA BURE
  • licha ya anasa zote hizo watakwambia elimu na afya kutolewa bure haiwezekani na bado kuna vijitu vinaunga mkono

Hivi hakuna mtaaramu wamabango atupigie hesabu za mabango tuu ya ccm achana na mambo ya T shirts, ghalama za kupigia kampeni wanazo ila njia ya kutafuta pesa za elimu bure na afya hawana!
 
Chakuhuzunisha waangalie hao wanowashingilia..choka mbaya..
Ndo maana hawataki kutoa elimu bure..
Hawa wananchi wakitafsiri hizo kampeni katika mahitaji yao...
CCM itakuwa mpinzani kwa miaka 100 ijayo...
 
Back
Top Bottom