Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,572
- 34,521
Kinachopingwa ni CCM kwa uwezo wake dhaifu wa kuendesha Serikali ya nchi yetu na hakuna mtu anayeipinga Serikali.
Serikali ni yetu sisi sote bali CCM ni chama chao wao wenye kupenda kuitumia Serikali yetu Kwa maslahi yao binafsi.
Serikali ni yetu sisi sote bali CCM ni chama chao wao wenye kupenda kuitumia Serikali yetu Kwa maslahi yao binafsi.