Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,394
- 30,382
Huku sasa ni kuwaonea bure CCM!,mtu wameisha mtimua,kwanini wamfuate fuate tena?!Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda wananchi wao, watuekeze Nchimbi yuko wapi?
View attachment 3668841
Saaa CCM inageuka kuwa na misimamo isiyoekeweka.
Imekuwa kutifautiana kimawazo katika CCM ni ugaidi.
CCM yenyewe sasa in mtazamo wa kigaidi.
Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda wananchi wao, watuekeze Nchimbi yuko wapi?
Yaani Kesha wavusha pale palipokuwa pagumu, sasa wakazi Gani tena huku kwenye siagi na asali. Zulia, eBitoke, PimbiHuku sasa ni kuwaonea bure CCM!,mtu wameisha mtimua,kwanini wamfuate fuate tena?!
P
Mkuu ni wanyama tu wanafanya ulivyoliona wewe.Huku sasa ni kuwaonea bure CCM!,mtu wameisha mtimua,kwanini wamfuate fuate tena?!
Nimeelezwa https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/
Wenye jukumu la kuwaeleza Watanzania yuko wapi,ni media
P
Huku sasa ni kuwaonea bure CCM!,mtu wameisha mtimua,kwanini wamfuate fuate tena?!
Nimeelezwa https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/
Wenye jukumu la kuwaeleza Watanzania yuko wapi,ni media
P
Polepole hakutimuliwa CCM,huyu wamemtimua,hawana tena shughuli naye. EN yupo tuu katulia mwenyewe!Unaweza kutimuliwa bado wakakufuata. Kwani Polepole yuko wapi?
ok.🐒View attachment 3668841
Saaa CCM inageuka kuwa na misimamo isiyoekeweka.
Imekuwa kutifautiana kimawazo katika CCM ni ugaidi.
CCM yenyewe sasa in mtazamo wa kigaidi.
Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda wananchi wao, watuekeze Nchimbi yuko wapi?
Polepole hakutimuliwa CCM,huyu wamemtimua,hawana tena shughuli naye. EN yupo tuu katulia mwenyewe!
P
NakaziaView attachment 3668841
Saaa CCM inageuka kuwa na misimamo isiyoekeweka.
Imekuwa kutifautiana kimawazo katika CCM ni ugaidi.
CCM yenyewe sasa in mtazamo wa kigaidi.
Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda wananchi wao, watuekeze Nchimbi yuko wapi?
Nchimbi amechaguliwa na wananchi kwa nini hawataki wananchi wawe na TAARIFA sahihiPolepole hakutimuliwa CCM,huyu wamemtimua,hawana tena shughuli naye. EN yupo tuu katulia mwenyewe!
P
Nchimbi amestaafu siasa na utumishi wa umma. AmepumIzika. Na sio jukumu la CCM kuelezea yupo wapi na anafanya nini.View attachment 3668841
Saaa CCM inageuka kuwa na misimamo isiyoekeweka.
Imekuwa kutifautiana kimawazo katika CCM ni ugaidi.
CCM yenyewe sasa in mtazamo wa kigaidi.
Kama CCM na kina Wassira bado wanawapenda wananchi wao, watuekeze Nchimbi yuko wapi?
Ni nani hawataki?,wenye wajibu wa kujua EN alipo ni nani?. Je umemsikia ndugu yeyote,jamaa yeyote,rafiki yeyote au mwananchi yeyote akimuulizia?.Nchimbi amechaguliwa na wananchi kwa nini hawataki wananchi wawe na TAARIFA sahihi
exactly!Nchimbi amestaafu siasa na utumishi wa umma. AmepumIzika. Na sio jukumu la CCM kuelezea yupo wapi na anafanya nini.
Mbona Polepole hawakumtimua so technically ni/alikuwa mwanachama wao lakini hawatuelezi yuko wapi?Huku sasa ni kuwaonea bure CCM!,mtu wameisha mtimua,kwanini wamfuate fuate tena?!
Nimeelezwa https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/
Wenye jukumu la kuwaeleza Watanzania EN yuko wapi,ni media,ila ndio hivyo tena https://www.jamiiforums.com/threads...ehewe-kuandika-ukweli-au-ni-zuzu-tuu.2470629/
CCM inawajibika kwa wanachama wake tuu na sio wananchi wa kawaida
P
CCM isiwe kichaka cga watekaji ambako mtu mwenye nawazo mbadala anapotelea au kufia humo.Nchimbi amestaafu siasa na utumishi wa umma. AmepumIzika. Na sio jukumu la CCM kuelezea yupo wapi na anafanya nini.