jamani mimi huyu ndo amenisikitisha kabisa.........ni mpendwa hasa ila hapa kachemka......huwa anadai kuwapeleka watu kwa heaven kwa sir god,chaajabu leo anawasindikiza watu upotevuni......imeniuma kinoma,yaani naandika moyo unahasiraa kinomi.
Nimenotice kitu kimoja,majority wa watumbuizaji na njaa tu,kukosa uzalendo,uelewa mdogo and mostly are are after money.wote walioitwa maboya na shule ndogo.......wangemuita mpoto...........
Bora ata mdada wa b.o.t yeye alikuwa anamuimbia mumewe....heri yake!!
Halafu khadijah kopa kaenda
kuimba matusi matupu..........yaani hadi aibu............
Nilishangaa kumuona dokii kwenye mkutano wa ccm,
mara flora mbasha mara marlaw........
Sijui kama ni burudani au ni kuganga njaa....
But honestly ....nimeona kama hawa wasanii wamejidhalilisha hivi....
Halafu msanii akishafulia kama dokii ukija kumuona
kwenye mkutano wa ccm ....
You just feel pity..........
Wasanii hawa nimeona kama wamejishusha hivi.....
Sijui nyinyi mnaonaje........
the boss, njaa mbaya, njaa inaua, njaa inaondoa akili, njaa inaleta mfarakano, njaa usiichezee hata kidogo.
Ndio wapi wapi kukaa kiti kimoja na shetwain wakti wewe mlokole?kwahio KOSA LAO NI KUIPENDA CCM???