utii wa sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania CCM na utii wa sheria

    Siku za hivi karibuni nimemsikia msajili msaidizi wa vyama vya siasa ndugu Sisty Nyahoza akikiri hadharani kuwa pamoja na ukubwa wa CCM lakini wamekuwa wanatii na kuwajibika kwa makosa mbalimbali yanayofanywa na wanachama wake Si mara moja au mbili wamekuwa wakiwaandikia barua za onyo na...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Utii wa sheria bila shuruti UMENAJISIWA na Polisi Tanzania? Wananchi tushtuke sasa kwani hatupo salama

    Nisiwachoshe sana. Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi. Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi Matukio ya watu kutekwa na vyombo vya dola kisha kutoweka ni mengi Matukio ya kutishia wakosoaji na kuwabambika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania: Katiba Mpya sio 'Tatizo', Viongozi wetu wanapatikanaje?!

    Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa watu hao kwenye kuchambua ubora wa kiongozi wanayemtaka. Viongozi wengi wanaofanikiwa kuingia...
Back
Top Bottom