CCM na ufisadi Tanzania

nayo ni ufisad????

Wewe hujui kama walikula hela bila ya kazi kufanyika!.
Kweli mwendo wa KIPOFU ni polepole.
POLE SANA KIPOFU WA KITANZANIA,2kutane october 25.
 
Soma tena namba 5.
5. Richmond/Dowans (japo walimtoa kafara Lowassa ili hali ilikuwa amri toka juu kwenye serikali ya CCM)

Kumbe ipo?

Nilikuwa sijaiona, vipi Lowassa alihusika na Richmond? Nnakumbuka ilipewa jina Richmonduli.
 
Huu ni ufisadi uliotukuka, kwa nini wanajificha kwenye kivuli cha richmond tu?? Mabadiliko yanahitajika sana
 
Kumbe ipo?

Nilikuwa sijaiona, vipi Lowassa alihusika na Richmond? Nnakumbuka ilipewa jina Richmonduli.

Kamati ya Mwakyembe ilitoa 'majibu' ingawaje hadi leo hakuna aliyefikishwa kwa pilato juu ya tuhuma hizo...
 
mwakyembe alisema kuna mambo mengine wameyaacha kwa kuwa yanawahusu viongozi wa juu ,sijui hao viongozi wa juu walikuwa ni nani zaidi ya waziri mkuu,
Kumbe ipo?

Nilikuwa sijaiona, vipi Lowassa alihusika na Richmond? Nnakumbuka ilipewa jina Richmonduli.
 
11. Rada mbovu ya change
12. Ununuzi wa ndege ya rais hadi tukala nyasi
13. Ujenzi wa Majengo pacha ya BOT
14. Utengenezaji wa fedha feki wakati Kikwete akibadilisha fedha

15.Kilimo kwanza
 
Kumbe ipo?

Nilikuwa sijaiona, vipi Lowassa alihusika na Richmond? Nnakumbuka ilipewa jina Richmonduli.

Hapana hakuhusika, kwa sababu tunaotumia written constitution tunaamini kwamba 'every citizen is innocent until proven guilt by the court of law'.... He is too innocent ila alijifanya mwanakondoo ili awaokoe serikali ya ccm, amekuwa scapegoat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…