tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
rasimu ya katiba
walikuwa wanatafuna fedha za umma wakat mchakato ulishaharibika, rasimu ya mwananch ikatupwa pembennayo ni ufisad????
walikuwa wanatafuna fedha za umma wakat mchakato ulishaharibika, rasimu ya mwananch ikatupwa pemben
Daaaah alaf malofa tumenyaza tu mpaka tunatukanwa.Ila ipo cku mungu atackia kilio chetu
nayo ni ufisad????
1. Escrow
2. Epa
3. Kiwira
4. Kagoda
5. Richmond/Dowans (japo walimtoa kafara Lowassa ili hali ilikuwa amri toka juu ktk Uongozi wa Serikali ya CCM)
6. Twiga
7. Nyumba za Umma
8. Ferry Boat (FB) a.k.a Marine Vessel (MV) Dar Es Salaam chakavu.
9. Mishahara hewa.
10. Meremeta
Taja nyingine!
Serikali ya ukawa ikisha ingia madarakani rasimu ya warioba ndio mpango mzima
Hatuitaki tena kwani Polepole na Warioba wameisha inajisi itabidi mchakato uanze upya kabisa
hii ndo aina ya watu waliobak kuishabikia ccm yan ht kuchanganua mambo hawawez, nashukuru kwa kumuelimishaKwa nini isiwe ni ufisadi kwani gharama zote zilizotumika zimepotea bure katiba iliyopitishwa ni ya CCM na kamwe haitakubaliwa na wananchi.na ni wazi CCM wametumia fedha za umma kutengeneza katiba yao.
Sita kachezea kodi zetu kabisa bila hata ya huruma sabb alijua hata rud mjengon akaamua kulazimisha na tunampigia dua na mkewe akose ubunge ili wakasimamie mirad yao kwa ufasaha
1. Escrow
2. Epa
3. Kiwira
4. Kagoda
5. Richmond/Dowans (japo walimtoa kafara Lowassa ili hali ilikuwa amri toka juu ktk Uongozi wa Serikali ya CCM)
6. Twiga
7. Nyumba za Umma
8. Ferry Boat (FB) a.k.a Marine Vessel (MV) Dar Es Salaam chakavu.
9. Mishahara hewa.
10. Meremeta
Taja nyingine!