CCM na Newtons laws of motion

Ni nani mwenye matusi zaidi kati ya oppositin na mafisi. Kuua wananchi wakiwa wapinzani ama wanafunzi wote ni wananchi. Hayo ni matusi makubwa kwa wapiga kura. Uliona Kinondoni? Baada ya kuuawa watu tarehe 16 wangapi walipiga kura tarehe 17? Asili mia 17. Je unaweza kusema kuwa kuna ushiriki hapo? Nani kam hagua huyo aliyechaguliwa? 11% ya watu wote wa kinondoni. Yaani watu 11 kwa kila mia. Hii ni hatari sana. Ni mtu asiyechaguliwa na watu. Kama moja alivyosema agafanye kazi ikulu.
 
Ndio maana siku hizi mnafeli sana mbona majibu yako hayafanani na swali uliloulizwa na mtoa mada? Unaulizwa ni kitu gani kimeifanya CCM ianze kutembea barabarani huku inaogea peke yake! Wakati huko nyuma haikuwa tabia yake,
"uwendawazimu wa CCM umesababisha na nini" hilo ndio lilikuwa swali.
Nadhani mpaka hapo umeelewa jibu sasa.
 
.
 
No regime have ever been removed from power or go down without a force.
But the leaders of this regime are not themselves, they have taken many lives of innocent citizens.
Killing changes you, it takes away piece of your soul, and you can never get it back again. They have killed, they are killers.
Their soul left them already and they will never stop now, they need to be stopped.
 
Very true.as i said once kuitoa ccm tunatamani lkni tunaikabidhi kwa nani...?
 
Yaani hata wewe mkuu ukishajimilikisha kila kity na familia yako si rahisi kumwachi wa tumbo moja nawe. Maana ubinafsi ni sumu ya gaki na usawa. Si rahisi kunishawishi na familia yangu kwa lugha hata kwa kura nikuachie hivihivi labda uninyonge. Selfishnes lead to dictatorship.mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…