CCM na mwaka wake wa mwisho madarakani

Lolote ninawezatokea ila ninauhakika huyu mzee mwisho wake hautokuwa mzuri, atakuwa mfano kwa wanyarwanda wengine au raia wengine watakaotaka kututawala huko mbeleni.
Unaweza kuwaza na ukaamini uko sawa na hii ni kweli yako na so kweli ya Mungu.Karl Jasper's quote lipo suala LA wakati bas acha naye aujibu wakati ,vihunzi vipo katika maisha na uimara wa yeyote ni kupambana na vihunzi hv Chadema refer to Thomas Aquinas Quotes.
 
Lolote ninawezatokea ila ninauhakika huyu mzee mwisho wake hautokuwa mzuri, atakuwa mfano kwa wanyarwanda wengine au raia wengine watakaotaka kututawala huko mbeleni.
Tumefumbwa akili tusije tukainuliwa juu badae ,tumepewa hekima ili tuishi baada ya dhamana
 
Nani akutukane,? atakayekutukana ana laana huyo...
A fool thinks that, tomorrow shall be the same like yesterday .
Kwa hiyo wewe ni wa kuonea huruma sana na siyo kutukanwa.
Ufahamu humweka mtu huru, yeye mjinga hujivuna na kufika mwsho usishangae akipasuka
 
Naandika na nasema mafufuli ndiye Rais wetu kwa miaka 10 yote pole mkinikosoa na kunitukana,Nahapo bado miaka 10 mingine ya chama cha mapinduzi ambapo muda huo chadema pua awamu zote za uchaguzi wa urais ila tufikapo 2035 baniani mbaya kiatu chake dawa hakuna cha tume ya uchaguzi rais ni baba yao wala wizi kushinda wala mgombea kujitangaza wala wananchi waoga wala kijijini ni CCM .Muda huu utawala wa Chadema ndio utakuwa utawala bora duniani na utaigwa na mataifa mengi hapa nazungumzia 2035-2045.Hilda newton kama upo njoo uandike mm nmemaliza nawaachia wenye mawazo na fikra pana na unabii toauti na huu waje.
Mitano inamtosha
 
Naandika na nasema mafufuli ndiye Rais wetu kwa miaka 10 yote pole mkinikosoa na kunitukana.

Na hapo bado miaka 10 mingine ya chama cha mapinduzi ambapo muda huo chadema pua awamu zote za uchaguzi wa urais ila tufikapo 2035 baniani mbaya kiatu chake dawa hakuna cha tume ya uchaguzi rais ni baba yao wala wizi kushinda wala mgombea kujitangaza wala wananchi waoga wala kijijini ni CCM

Muda huu utawala wa Chadema ndio utakuwa utawala bora duniani na utaigwa na mataifa mengi hapa nazungumzia 2035-2045.

Hilda newton kama upo njoo uandike mm nmemaliza nawaachia wenye mawazo na fikra pana na unabii toauti na huu waje.
Mkuu Kaloo, hata kama wewe ni darasa la saba, sio lazima mpaka kila mtu ajue. Unaweza kuandika vizuri huku umetulia, na ukaeleweka vizuri tuu, jf ni ya wote wanaojua kusoma na kuandika.

Ukiisha post, jisome urekebishe, mimi nakusaidia kwa kukuwekea alama kwa bold kwenye makosa madogo madogo, majina ya watu, vyama anza na capital letters.
P
 
Naandika na nasema mafufuli ndiye Rais wetu kwa miaka 10 yote pole mkinikosoa na kunitukana.

Na hapo bado miaka 10 mingine ya chama cha mapinduzi ambapo muda huo chadema pua awamu zote za uchaguzi wa urais ila tufikapo 2035 baniani mbaya kiatu chake dawa hakuna cha tume ya uchaguzi rais ni baba yao wala wizi kushinda wala mgombea kujitangaza wala wananchi waoga wala kijijini ni CCM

Muda huu utawala wa Chadema ndio utakuwa utawala bora duniani na utaigwa na mataifa mengi hapa nazungumzia 2035-2045.

Hilda newton kama upo njoo uandike mm nmemaliza nawaachia wenye mawazo na fikra pana na unabii toauti na huu waje.
Chadema ipi hiyo
 
Huyu ni mwanaCHADEMA kindakindaki na inawezekana ni mmojawapo wa wale wadeki lami. uandishi wake ni ushahidi wa nisemayo
 
Ukiisha post, jisome urekebishe, mimi nakusaidia kwa kukuwekea alama kwa bold kwenye makosa madogo madogo, majina ya watu, vyama anza na capital letters.
P
Naona Mzee P umezidi kumchanganya kwa maneno Bold na Capital Letters kama kweli unayaka kumsaidia mlainishie maneno Jpili njema tujiepushe na makundi yasiyo salama tuoshe mikono mara kwa mara tueneze ujumbe wa Professor Janabi kadiri iweze kanavyo
 
Naandika na nasema mafufuli ndiye Rais wetu kwa miaka 10 yote pole mkinikosoa na kunitukana.

Na hapo bado miaka 10 mingine ya chama cha mapinduzi ambapo muda huo chadema pua awamu zote za uchaguzi wa urais ila tufikapo 2035 baniani mbaya kiatu chake dawa hakuna cha tume ya uchaguzi rais ni baba yao wala wizi kushinda wala mgombea kujitangaza wala wananchi waoga wala kijijini ni CCM

Muda huu utawala wa Chadema ndio utakuwa utawala bora duniani na utaigwa na mataifa mengi hapa nazungumzia 2035-2045.

Hilda newton kama upo njoo uandike mm nmemaliza nawaachia wenye mawazo na fikra pana na unabii toauti na huu waje.
Usikate tamaa mwanangu....unajitahidi kuandika.

Ila kwa sasa mwanangu usianzishe UZI humu...soma tu na kuchangia!!

Umesikia mwanangu..!!? Haya kafanye homework mama!!
 
Back
Top Bottom