MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,030
Hawajiamini hata inafikia hawa wamini wakurugenzi wa wilaya!!
Wanadai Wakurugenzi wote wa wilaya ni chadema! Mtu unajiuliza, wanakuwaje chadema, ili hali nyie ccm ndo mmewachagua after proper veting
Hawajiamini hata inafikia hawa wamini wakurugenzi wa wilaya!!
Wadau juzi wakati CCM ikisheherekea miaka 35, Mr Lukuvi ambae anajiita mlezi wa CCM mkoa wa Mara alikuja Musoma na kuandaa mkutano maeneo ya nyakato, Ndugu zangu huyu jamaa alichoambulia ni aibu kwani aliahirisha mikutano miwili kutokana na kukosa watu na hata pale alipoweka kikao na wana ******* wenzake alipata wanamagamba kiduchu. haijulikani hata alipopotelea.