Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa.
Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo uliozoeleka ni ule wa kuunda serikali ya muungano au umoja wa kitaifa. Lakini pia ndoa hiyo inaweza ikaishia tu kwa vyama husika kuwa na muafaka, ambapo chama tawala kinakubali kujumuisha katika ilani yake ya uchaguzi baadhi mambo muimu yaliyo ainishwa katika ilani yu uchaguzi ya hasimu wake. Kwa kuzingatia hayo, napenda nitoe rai ya kwamba kuna haja ya CCM na CHADEMA kukaa pamoja na kubadirishana mawazo juu ya utekelezaji wa sera ya CHADEMA ya na muundo wa serikali ndogo, kwakuwa muundo wa serikali tulionao unasababisha rasilimali nyingi ya taifa kutumika katika uendeshaji badala yamaendeleo ya wananchi.
kawafungishe ndoa hawa kwanza then umletee Slaa mbofumbofu kama hizi.Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa.
Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo uliozoeleka ni ule wa kuunda serikali ya muungano au umoja wa kitaifa. Lakini pia ndoa hiyo inaweza ikaishia tu kwa vyama husika kuwa na muafaka, ambapo chama tawala kinakubali kujumuisha katika ilani yake ya uchaguzi baadhi mambo muimu yaliyo ainishwa katika ilani yu uchaguzi ya hasimu wake. Kwa kuzingatia hayo, napenda nitoe rai ya kwamba kuna haja ya CCM na CHADEMA kukaa pamoja na kubadirishana mawazo juu ya utekelezaji wa sera ya CHADEMA ya na muundo wa serikali ndogo, kwakuwa muundo wa serikali tulionao unasababisha rasilimali nyingi ya taifa kutumika katika uendeshaji badala yamaendeleo ya wananchi.
kawafungishe ndoa hawa kwanza then umletee Slaa mbofumbofu kama hizi.
Sitta na Rostam
Mwakyembe na Lowassa
Makamba (senior) na Shelukindo
Sofia Simba na yule katibu mkuu wake
Mwandosya na Mulla
......................
........................
........................
Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa.
Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo uliozoeleka ni ule wa kuunda serikali ya muungano au umoja wa kitaifa. Lakini pia ndoa hiyo inaweza ikaishia tu kwa vyama husika kuwa na muafaka, ambapo chama tawala kinakubali kujumuisha katika ilani yake ya uchaguzi baadhi mambo muimu yaliyo ainishwa katika ilani yu uchaguzi ya hasimu wake. Kwa kuzingatia hayo, napenda nitoe rai ya kwamba kuna haja ya CCM na CHADEMA kukaa pamoja na kubadirishana mawazo juu ya utekelezaji wa sera ya CHADEMA ya na muundo wa serikali ndogo, kwakuwa muundo wa serikali tulionao unasababisha rasilimali nyingi ya taifa kutumika katika uendeshaji badala yamaendeleo ya wananchi.
siasa za CHADEMA ni either CHADEMA au adui, hivi hujawahi kulifikiria hili its always CHADEMA vs NCCR- Mageuzi, CHADEMA vs TLP, CHADEMA vs CUF. Au chukua sample ya hapa JF uone kama hayo unayofikiria ni practical. Kinachofuatia kwa CHADEMA ni kuporomoka kama ambavyo NCCR ilivyokuwa baada kujenga maadui wengi kuliko marafiki.
Katika medani ya siasa inapobidi, vyama vya siasa hasimu huona ni heri kufunga ndoa ya maridhiano, (marriage of convenience) ili kuepusha balaa.
Ndoa hiyo ya maridhiano inayo mifumo mingi. Mfumo uliozoeleka ni ule wa kuunda serikali ya muungano au umoja wa kitaifa. Lakini pia ndoa hiyo inaweza ikaishia tu kwa vyama husika kuwa na muafaka, ambapo chama tawala kinakubali kujumuisha katika ilani yake ya uchaguzi baadhi mambo muimu yaliyo ainishwa katika ilani yu uchaguzi ya hasimu wake. Kwa kuzingatia hayo, napenda nitoe rai ya kwamba kuna haja ya CCM na CHADEMA kukaa pamoja na kubadirishana mawazo juu ya utekelezaji wa sera ya CHADEMA ya na muundo wa serikali ndogo, kwakuwa muundo wa serikali tulionao unasababisha rasilimali nyingi ya taifa kutumika katika uendeshaji badala yamaendeleo ya wananchi.
Kinachofuatia kwa CHADEMA ni kuporomoka kama ambavyo NCCR ilivyokuwa baada kujenga maadui wengi kuliko marafiki.
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu bora usiwe unachangia kama unadhani huna hoja
mra kadhaa nimekuwa sina hoja lakini nikaendelea kuchangia, wewe na mwenzako yule mwanasheria niliwaambia hata jua lishuke kwa hali ilivyo Slaa hawezi kuwa rais wa tano wa TZ, mkanitukana, leo nakuambia kuwa CHADEMA itaporomoka unaweza kuendelea kuamini unachotaka lakini ukweli utabaki kuwa palepale. Ungekuwa na akili ungeniuliza hilo linawezekanaje lakini kwa kuwa huna unakimbilia ku react.